Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hivi unadhani ni kweli amemsamehe?
Lazma aishi nae atake asitake mana kwanza alikua na tambo za kutosha kuhusu mkewe lakini pili akimuacha atauhakikishia uma kuwa mkewe kachepuka and it will be really bad for him especially yeye anaejulikana kama pastor!
Kitachotokea ndani ya nyumba kati ya hao wawili kuanzia sasa Mungu tu ndio anaejua,ila nijuavyo mimi no man atasamehe akijua mkewe kauza mechi yani hayupo wanawake ndo tuna hiyo mioyo sio hawa wenzetu!
Ndugu, nikwambie tu kwamba wapo wanaosamehe maana na wao mbele za mungu ni wakosaji wanacheat na kula wake za watu.
Ni mnafiki pekee ambaye hata msamehe mke wake ingali na yeye ni good cheater.
Masanja kaamua asiwe mnafiki. Huo ndo uanaume.
 
Watanzania tunapenda sana kutoa mjumuisho na hukumu kwa habari ndogo ndogo bila ushahidi wa kutosha....... taarifa ya polisi inasema kuwa walikuwa na mawasiliano......katika hali ya kawaida lazima wawe na mawasiliano kwa kuwa hao wanafahamiana kimajukumu.........pia inawezekana pia ikawa kijana aliwaka tamaa akawa anamtongoza mama mchungaji.........

Lakini mpaka Sasa sijaona uthibitisho wa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi........

Mbona kana kwamba tulikuwa tunatazamia habari kutoka kwenye familia hii muda wowote....
Katibu utamu alioupata hakuna sehemu nyingine aliwahi pata. Ndio shida ilipo.
 
Mapenzi ya hawa wawili yalikuwa yanavuka mipaka, mke wa Masanja dizaini akamuonya marehemu hakutaka kusikia, suala la kwenda kwa marehemu na mama mwingine ni wazi msukuma alimuamini sana huyo mama so akamshirikisha ili amsaidie kutatua tatizo, bahati nzuri jambo likaisha kwa staili hii. HUYO MSUKUMA NI MSHENZI NA MZINZI, PERIOD.
 
Linapona ukimtimua ila ukibaki naye kama sie, huwezi kumthamini tena. Mnaishi ili mradi tu.
Haliwezi kupona mmeshazaa watoto wanawaunganisha.
Utamuona na kumsikia utake usitake.
 
Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako

Kweli Polisi mkamateni Masanja na Monica ,Masanja atakuwa kamuua Katibu wake,ukiwa unaangalia ID Channel hayo mambo yapo sana.
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Ahahahahha mkuu unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.

Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.

Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

========================

Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu

Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Kamanda Muliro ameongeza “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”


View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne
Kwahiyo walikuwa kwenye uhusiano Ila mama mchungaji akaona avunje uhusiano? Kazi kweli kweli
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Endelea kushupaza shingo ya wanawake wenzio zamu yako inakuja!

Omba Sana , Cheka Sana Ila usiombe yakukute
 
Haliwezi kupona mmeshazaa watoto wanawaunganisha.
Utamuona na kumsikia utake usitake.
Huelewi hapo! Ukiwa huko naye, hii haikuumi maana mlimalizana. Ukiwa naye inauma maana akitoka unadhani keshakwenda kunyanduliwa. Ukikutana na mwanaume yeyote akasema mkeo anamfahamu, unaaza kujishuku kuwa pengine K ya mke wako ashainawia hata miguu. Ni ngumu kidogo.
 
Back
Top Bottom