Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Na muhusika namna anamzungumzia mke wake kwa sasa napata mashaka, inawezekana vp katibu wako afe unarudi unakenua kweli kweli mara kumpost mkeo mara matap tap
 
Naona Nikkiwapili sahv hana time na demu wale tangu ile skendo ya kuliwa na yule proffessor

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikki wapili alivyokuwa anamtukuza. Halafu kilichomuuma ni mzee kamgonga. Ila jalalani alifaidi.
47254684_1958028341172513_627384246796812288_n.jpg
NIKK.jpg
 
Maswali fikirishi;Je mke wa Masanja aliwahi kumwambia mumewe juu ya usumbufu huu?

Na kama tayari,kwanini alienda hadi nyumbabi kwa marehemu kumzuia asiendeleze sms zake?

Na kama hakuwahi kumlalamikia mumewe jambo hili hadi linafikia hivi ni kwa nimi?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.

Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.

========================

Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.

Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Kamanda Muliro ameongeza, “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”

View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne​
Yaaani weledi wa police umeishia hapo Very sad. Wasomi wa investigation police hawapo, hawataki kuchosha akili zao, et kajinyonga kwa sababu ya tundu la mke wa mtu.
 
Attachments

  • IMG-20221013-WA0053.jpg
    IMG-20221013-WA0053.jpg
    68.1 KB · Views: 16
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.

Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.

========================

Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.

Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Kamanda Muliro ameongeza, “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”

View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne​
 
Attachments

  • VID-20221013-WA0091.mp4
    926.3 KB
Wewe hujaelewa taarifa ya Kamanda. Ni kwamba, Mrs. Masanja hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyu Katibu wa Kanisa, bali, Katibu alikuwa anamtongoza kumtaka kimapenzi, na, Mrs. Masanja inaonesha alimkataa hadi kufikia hatua ya kwenda kwake Katibu na kijumbe kumkanya aache tabia ya kumtongoza.
Hata hivyo, Jeshi lisiishie hapo kama lilivyosema, bali, liendelee na uchunguzi wa kina kubaini zaidi yaliyofichwa na kufichika ndani ya boksi. Damu ya mtu Mtanzania isichukuliwe kirahisi kihivyo.
Hapa Kuna ukakasi mwingi.Hivi mtu akimtongoza mwanamke,mwanamke anachukua jukumu la kumfuata nyumbani kwake kumkanya? Huyu ni mama Mchungaji,huyu ni katibu wa kanisa hilohilo moja,mbona asimuonyee kanisani mbele ya wazee wa kanisa na mashemasi?
 
Hili nalo limepita japo Mchungaji Masanja kaamua ku - keep low profile
 
Back
Top Bottom