The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Chief,Sasa we unataka wafanyaje kama mtu ameshakufa
Sawa ni sahihi unavyosema ila Africa mtu akifa ndio basi tenaChief,
Ni hivi tayari tumeshapewa taarifa kua Ulomi amefariki na cha kufanya hakuna tena, lakini utata unakuja kwenye taarifa yenyewe ya jeshi la polisi wakielezea hilo tukio.
Ajali ya pikipiki ni instant crash na hutokea highway. Ina maana siku zote hizo toka ajali imetokea watu wasijue tu😄? Kasongo mbona wewooo??!Wakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?!
Halafu tayari kulikuwa na taarifa ya Ulomi kupotea na kutafutwa na polisi, ina maana mifumo haisomani mwili wa mtu asiyetambulika unapopatikana toka tar 11 mpaka leo?🤔
Nawaza tu.... kuna ka kitu kanatengenezwa hapa.
Pia soma: Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
View attachment 3178170
Unachanganya desa, siyo huyu.Kuna mtu anasema alimpigia marehemu kuwa anafuatiliwa na Landcruiser
Alipotajiwa namba ikaonekana namba za gari hilo ni za gari la Kahama ila liko Ilala
Hiyo ajali ilitokea eneo gani na mashuhuda ni nani
Yaani humu kuna watu mnauzi,sasa kama mke wake alihojiwa akasema aliondoka na pikipiki akiendesha mwenyewe we unakataa.Tajiri mkubwa kama Ulomi anapanda pikipiki?! Wewe ukiambiwa Dewji amepata ajali ya pkpk utaamini. Polisi acheni kuwaona watu wote ni wajinga.
Mkuu kila mkoa kuna usajili wa gari zake? Unaposema gari la Kahama unamaanisha nini?Kuna mtu anasema alimpigia marehemu kuwa anafuatiliwa na Landcruiser
Alipotajiwa namba ikaonekana namba za gari hilo ni za gari la Kahama ila liko Ilala
Hiyo ajali ilitokea eneo gani na mashuhuda ni nani
Taarifa ya polisi imejaa matobo.Wakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?!
Halafu tayari kulikuwa na taarifa ya Ulomi kupotea na kutafutwa na polisi, ina maana mifumo haisomani mwili wa mtu asiyetambulika unapopatikana toka tar 11 mpaka leo?🤔
Nawaza tu.... kuna ka kitu kanatengenezwa hapa.
Pia soma: Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
View attachment 3178170
Soma hizi thread humu imesema huyo marehemu alipigiwa simu na rafiki yake kuwa kuna landcruiser inamfuatilia ... ilipofuatiliwa namba ikaonekana mmiliki ni wa Kahama na gari hilo lilikuwa Ilala, walipolifuatilia mwenye gari akaonekana kushangaa kwakuwa hakuwa anajua loloteMkuu kila mkoa kuna usajili wa gari zake? Unaposema gari la Kahama unamaanisha nini?
Iweke hiyo post hapa mkuuUnachanganya desa, siyo huyu.
Majibu yote yako humu toka tar 11Je hakuwa na vitambulisho?
Je hakuwa na simu mfukoni? Namba ya simu iliyo mfukoni ilikuwa na line iliyosajiliwa kwa jina lipi?
Je namba ya pikipiki aliyokuwa anaiendesha ilikuwa imesajiliwa kwa jina lipi?
Ni kweli swali la kijinga, inawezekana kabisa alikua na usafiri mkubwa ila mida na kepusha foleni kijiweni sinza ukipa boda msimbazi anakuachia boda uende nayo hata moro.Yaani humu kuna watu mnauzi,sasa kama mke wake alihojiwa akasema aliondoka na pikipiki akiendesha mwenyewe we unakataa.
Kuna taarifa niliisoma jana ikielezea kuwa "ndugu wametqfuta vituo vyote vya polisi, hospitali zote na vyumba vyote vya kuhifadhia maiti." inamaana hilo neno "zote/vyote/kote" litakuwa lilitumika isivyo?Wakuu,
Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake?
Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?!
Halafu tayari kulikuwa na taarifa ya Ulomi kupotea na kutafutwa na polisi, ina maana mifumo haisomani mwili wa mtu asiyetambulika unapopatikana toka tar 11 mpaka leo?🤔
Nawaza tu.... kuna ka kitu kanatengenezwa hapa.
Pia soma: Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
View attachment 3178170
Huyu aliyefariki ni yule inadaiwa alipigiwa simu na wakala wao wa mzigo wao kwamba anaitwa na TRA hvyo anatakiwa aende, akachukua boda yake kwenda ndiyo ikawa kimoja mpaka mwili wake kukutwa Mwananyamala, Yule ndugu Masawe anayedaiwa na Polisi kuuza gari la ndugu yake na kujiteka bado haijajulikana Ngoja tusubili Polisi watakuja na Sinema gani...Iweke hiyo post hapa mkuu
Mimi nashindaga wilaya ya ilala kulala wilaya ya temeke ndani ndani huko..Wakuu,