GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.

Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ila mi ningekua dar kesi ya Lissu wangeniua ..!
 
Wanataka kuzima utaratibu wa kurusha kesi kupitia mitandao ili maelfu ya watu ambao hawapo mahakamani wasiweze kusikia ushahidi feki.

Halafu mahakamani wanajaza askari waliovaa kiraia ili raia halisi wasiingie kusikiliza ushahidi feki.

Yaani kesi hii ya mchongo wanataka kuiendesha gizani ili kumnyima Lissu haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…