GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Leo mapema katika mahakama ya Kisutu waliruhusiwa wanachama 20 tu wa chadema kuingia ukumbini. Kufika ndani wakukuta viti vimeshakaliwa vimejaa na wasiojulikana.

Baada ya malumbano baadhi ya wale waliotangulia kukaa wakajulikana kuwa ni polisi wamevaa kiraia. Je mahakama zetu ziko huru? HAKI
Waislamu wanatuhalibia taifa
 
Channel gani wadau Mii ata sielewi apa. Si tbc Wala east Africa hawaoneshi
 
CHADEMA watulize mizuka. Kesi ya Lissu inafuatiliwa na wengi.. hao ni raia walioguswa na hiyo kesi ndo maana wako hapo kufuatilia. Hakuna sheria iliyovunjwa.
 
Wameingia wakiwa na jambo lao hao, wananchi waliopo hapo wahakikishe hao vibaka wanafukuzwa kama mbwa.
 
Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.

Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.

Acheni kulia lia,kwani mahakamani kuna watu maalumu wanaruhusiwq kuingia?
 
Back
Top Bottom