Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,629
- 1,960
Keyboard worrier 😂 😂 😂 😂 si usafiri tuIla mi ningekua dar kesi ya Lissu wangeniua ..!
Keyboard worrier 😂 😂 😂 😂 si usafiri tuIla mi ningekua dar kesi ya Lissu wangeniua ..!
Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.
Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.
Polisi ni raia kama walivyo watu wengine wote!Nguo za polisi za khaki ni za kiraia kama wao wenyewe walivyo ni raia tu. Khaki pia ni sare ya Chadema. Nguo za kijeshi zina tofauti hata kitambaa chake hakiuzwi madukani
Polisi waliwapiga marungu au mara nyingi wakiwapiga wafuasi wanaoenda kusikiliza kesi na mahakama ikabaki kimyaKuna uhusiano gani na mahakamani?
Unaweza ukafunga na funga yako isikubaliwe mahala pa BwanaUnajua wanasali wapi?
Watu wamefunga ujue 🐼
Sasa wewe umewahi kuona Polisi wamejazana kwenye kesi ya raia mmoja tu?Unaweza ukafunga na funga yako isikubaliwe mahala pa Bwana
Mbona wewe hujatekwa na ujinga wako.Ukiona hivyo ujue wanajiandaa kuteka
Hili swali ulipaswa uwaulize sasa hao Polisi waliopo hapo kwenye kesi ya raia huyo mmoja.Sasa wewe umewahi kuona Polisi wamejazana kwenye kesi ya raia mmoja tu?
Mimi sijawaona hao Polisi yaweza kuwa ni mastory ya town tu 🐼Hili swali ulipaswa uwaulize sasa hao Polisi waliopo hapo kwenye kesi ya raia huyo mmoja.
Kwahiyo sio darasa tena uliposema watu wahudhurie 💀Mimi sijawaona hao Polisi yaweza kuwa ni mastory ya town tu 🐼
Nashauri hiki kipindi cha uchafuzi wenu uniheshimu hata kidogoMbona wewe hujatekwa na ujinga wako.
Acha matumizi ya Moshi kupita kiasi . Kula chakula na kunywa maji badala ya kushinda ukila mjani kama Mbuzi wa kienyeji.Nashauri hiki kipindi cha uchafuzi wenu uniheshimu hata kidogo
Mhe diwani upo? mwaka wakoAcha matumizi ya Moshi kupita kiasi . Kula chakula na kunywa maji badala ya kushinda ukila mjani kama Mbuzi wa kienyeji.
Kilitokea nini kwa Dr Hashim Titho?Maneno tu haya unajiongelesha
Hawa madikteta. Wanalilia haki ambayo wao kwa upande wao hawawezi kutoa.Baada ya mahakama kutoa uhuru wa watu kufuatilia kesi, leo chadema wanafukuza watu mahakama ni, pumbavu sana
Kweli kabisaHawa madikteta. Wanalilia haki ambayo wao kwa upande wao hawawezi kutoa.