Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
kuzuia uvunjifu wa amani kunaitaji mbinu tofautitofauti nduguNi vema wangevaa nguo za kijeshi ili watu wawatambue kuwa wamekuja kulinda usalama.
kuzuia uvunjifu wa amani kunaitaji mbinu tofautitofauti nduguNi vema wangevaa nguo za kijeshi ili watu wawatambue kuwa wamekuja kulinda usalama.
Wanaohudhuria mahakamani na wale watekaji, wauza bandari, wala rushwa nani anavunja amanikuzuia uvunjifu wa amani kunaitaji mbinu tofautitofauti ndugu
Nguo za polisi za khaki ni za kiraia kama wao wenyewe walivyo ni raia tu. Khaki pia ni sare ya Chadema. Nguo za kijeshi zina tofauti hata kitambaa chake hakiuzwi madukani.Ni vema wangevaa nguo za kijeshi ili watu wawatambue kuwa wamekuja kulinda usalama.
Utachelewa sana kuwa spot kwa hizo muonekano tu, kama ni Ops ya Task force team.If you see a man with a SHAVEN FACE, a DENGE on his head, and a bizarre HITLER'S MUSTACHE, know that he is a PIG.
They're very predictable.
Aaaah wanazingua haoLeo mapema katika mahakama ya Kisutu waliruhusiwa wanachama 20 tu wa chadema kuingia ukumbini. Kufika ndani wakukuta viti vimeshakaliwa vimejaa na wasiojulikana.
Baada ya malumbano baadhi ya wale waliotangulia kukaa wakajulikana kuwa ni polisi wamevaa kiraia. Je mahakama zetu ziko huru? HAKI
Panda Basi kaka!Kama kifo kizuri uliza kaburiIla mi ningekua dar kesi ya Lissu wangeniua ..!
Kuna kitu wataelewa sasa form four failule.?Kwani polisi hawaruhusiwi kusikiliza kesi?
ndio majukumu Yao sio kusikiliza kesi kulinda raia na hakizao(Mali)Kwani polisi hawaruhusiwi kusikiliza kesi?
Tunajiabisha sana!Leo mapema katika mahakama ya Kisutu waliruhusiwa wanachama 20 tu wa chadema kuingia ukumbini. Kufika ndani wakukuta viti vimeshakaliwa vimejaa na wasiojulikana.
Baada ya malumbano baadhi ya wale waliotangulia kukaa wakajulikana kuwa ni polisi wamevaa kiraia. Je mahakama zetu ziko huru? HAKI
Watu wasiojulikana wanaenda mahakamani bila uoga?Leo mapema katika mahakama ya Kisutu waliruhusiwa wanachama 20 tu wa chadema kuingia ukumbini. Kufika ndani wakukuta viti vimeshakaliwa vimejaa na wasiojulikana.
Baada ya malumbano baadhi ya wale waliotangulia kukaa wakajulikana kuwa ni polisi wamevaa kiraia. Je mahakama zetu ziko huru? HAKI
Hata hapo mahakamani kuna raia ...unawapangia pa kulinda?ndio majukumu Yao sio kusikiliza kesi kulinda raia na hakizao(Mali)
Police avae kiraia akasikilize kesi leo j3 siku ya kazi?Kwani polisi hawaruhusiwi kusikiliza kesi?