Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Aliyeleta uzi ndio ana akili ndogo,mahakamani mtu yoyote anaruhusiwa kufika,hakuna zuio,acheni kulia lia.Wametumia akili ndogo sana
Aliyeleta uzi ndio ana akili ndogo,mahakamani mtu yoyote anaruhusiwa kufika,hakuna zuio,acheni kulia lia.Wametumia akili ndogo sana
NI VYEMA SHAURI HILI LIKAHAIRISHWA NA KUJA KUSIKILIZWA TENA FEBRUARY 2026,ILI KUPISHA MASUALA MENGINE MUHIMU YA UJENZI WA TAIFA LETU.Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.
Pia Jeshi la Polisi wameingia wengi katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamevaa nguo za kiraia, wananchi na wanachama wamewatambua na kuwalalamikia.
Hapo ni darasani ujue kila mtu anatamani ahudhurieMkuu infiltration haifanyiki kizembe hivyo, dunia iko mbele sana kwa sasa 💀
Kwani kuna mtu analazimishwa? 🐼NI VYEMA SHAURI HILI LIKAHAIRISHWA NA KUJA KUSIKILIZWA TENA FEBRUARY 2026,ILI KUPISHA MASUALA MENGINE MUHIMU YA UJENZI WA TAIFA LETU.
Polisiccm wana usenge mwingi sanaIli waanzishe vurugu waonekane wananchi ndo wameleta fujo..!!
MH.HAKIMU TUNAOMBA SUALA LA MAGOMVI YA WANACHADEMA WA BARA NA VISIWANI KUHUSU MALI ZAO,LIPELEKWE MBELE NA ZUIO LIBAKIE PALEPALE, WATANZANIA WANA MENGI YA KUFANYA KWA WAKATI HUU,UKIZINGATIWA UCHAGUZI UU USONI!Kwani kuna mtu analazimishwa? 🐼
Baki huko huko Ushora.Ila mi ningekua dar kesi ya Lissu wangeniua ..!
Siku hizi mahakama ni uwanja wa vita?medani za kivita..chadema wasicheze na amani ya nchi
Video zipo hapo unauliza tena?unaweza kuthibitisha?
Kwani wanaoruhusiwa kuingia hapo mahakamani ni chadema tu?Video zipo hapo unauliza tena?
Jingalao ujinga haujakutoka bado?
Watanzania gani wenye mengi ya kufanya?MH.HAKIMU TUNAOMBA SUALA LA MAGOMVI YA WANACHADEMA WA BARA NA VISIWANI KUHUSU MALI ZAO,LIPELEKWE MBELE NA ZUIO LIBAKIE PALEPALE, WATANZANIA WANA MENGI YA KUFANYA KWA WAKATI HUU,UKIZINGATIWA UCHAGUZI UU USONI!
Kwanini polisi wavae kiraia na waingie kukaa benchi ambalo hawakupangiwa kukaa maana wanaokaa benchi hilo wote umesikia hapo wanajuana sasa hizo sura mpya zimetoka wapi?Kwani wanaoruhusiwa kuingia hapo mahakamani ni chadema tu?
Ni vyema wangetafutiwa darasa sio eneo ambalo wafuasi wa hicho chama wanawekwa kila sikuHapo ni darasani ujue kila mtu anatamani ahudhurie
Unajua wanasali wapi?Ni vyema wangetafutiwa darasa sio eneo ambalo wafuasi wa hicho chama wanawekwa kila siku