GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

GE2025 Polisi wavaa mavazi ya kiraia kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu. Wananchi wawashtukia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliyeleta uzi ndio ana akili ndogo,mahakamani mtu yoyote anaruhusiwa kufika,hakuna zuio,acheni kulia lia.
Hapa wewe ndio unaonekana una akili ndogo maana huelewi kwanini polisi wawe pale tena na nguo za kiraia kimya kimya tena upande ulio tengwa kwa ajili ya watu 20 walio upande wa mshtakiwa
 
Jeshi letu la Polisi, nawashauri tena kwa mara nyingine, msiwachekee hawa wahuni wa Lisu.
 
Askari huwa wanaenda kufanya nini?

Askari huwapo kudeal na watuhumiwa wanaotoka mahabusi kwenda kuhudhuria kesi zao...

Hao askari wa Tanpol kwa kesi kama ni utemi wao tu kuwepo hapo kwa sababu ya uwepo wa Chadema...
 
Juzi niliweka uzi mmoja Kuwa nimewasikia vijana wa suti nyeusi wakiwaambia viongozi wao Kuwa Watanzania wamebadilika sana na ikitokea wakaanza kukusanyika (watu 100 wasiorudi nyuma) hali itabadilika sana na hawataweza kuwazuia tena.

Kuna watu vilaza wakaanza kuleta ujinga wa October tunatiki, tukio la leo linaonekana namna CCM wamepanic na kujaribu kutumia mbinu nyingi na za ovyo kuzuia watu wasiongee, lengo kubwa sasa ni kufanya censorship ya kesi ya Lissu
 
Back
Top Bottom