Polisi Wavalishwe kamera za mwilini (bodycam) kufuatilia nyendo zao

Polisi Wavalishwe kamera za mwilini (bodycam) kufuatilia nyendo zao

Kwa hiyo sisi tumeamua kuwa hivi ili kulinda maslahi ya matumbo ya polisi?! Kama tunashindwa kumanage nchi kwa sababu ni kubwa si tuwagawie wengine tubaki na kanchi kadogo kama wilaya ili iwe manageable?;
By the way zipo nchi ngapi Duniani ambazo ni kubwa kubwa lakini zina mifumo Imara?
Sio afrika lakini.
Huku Sheria moja lakini ina dabo standard
 
Na kwa kuanzia, basi tungeanza na wale jamaa zangu wa barabarani. Wallah tena hao jamaa, wataziharibu hizo camera kwa makusudi kabisa.
 
Bodycam ni hatua ya juu sana, just iwe Sio ruhusa polisi kwenda kwenye misako hii bila Gari kuwa na numba inayosomeka sawa sawa na iwe kwenye register kama wakifanya tukio baya!! Kwa Sasa wanatembelea fake plate Numbers, mengine hayana plate numbers, etc hii ndio chanzo kikubwa Cha dhuluma
 
Sidhani kama Siku hizi rushwa ni ya kupeana mikononi! Kwa nyakati hizi ambapo kuna simu za mkononi, deal linaishia kwenye simu! Huenda mambo yanakuwa hivi:
"Oyaa niingizie mzigo wangu kwenye namba hii"!
Polisi siyo Wajinga kiasi hicho.
 
Hapo tu Rwanda wameweza, wale wana maslahi gani? Kama kazi upolisi Ina maslahi madogo mbona hawaaxhagi kazi? Wacha kutudanganya
Mbona napo Botswana it's almost zero corruption, why sisi tunashindwa
 
Vishkwambi vya walimu vingi tu sahizi washauza sembuse polisi wapewa body cam?Kwanza connection za akina amba ruti zinatutosha hatutaki na za manjagu.
Hivi hao walimu waliouza vishikwambi ni wa wapi, unaweza kuja na mifano halisi na sio maneno matupu?
 
Vishkwambi vya walimu vingi tu sahizi washauza sembuse polisi wapewa body cam?Kwanza connection za akina amba ruti zinatutosha hatutaki na za manjagu.
Vishkwambi navyo ni vitu vya kuongelea kama mjadala wa kitaifa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
View attachment 2892394
Polisi wa Tanzania ni tatizo kubwa Sana ktk nchi hii, hatua za dharula zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na janga hili baya lililopo.
Ukilichunguza kwa umakini Sana utagundua kwamba Jeshi Hilo limepoteza kabisa Uhalali wote wa kuwa Jeshi la Serikali katika nchi yoyote ile hapa duniani. Kutokana na mienendo ya Askari Polisi jinsi wanavyofanya kazi utadhani kwamba ni Mafia Gang fulani hivi. Vifo vya kiholela vya Raia wasio na hatia ni vingi sana vinatokea wakiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, hali inatisha Sana kupita kiasi. Vituo vya Polisi kwa sasa vinaonekana Kama Kambi za Kifo kwa Raia. It's extremely dangerous.
 
Itasadia sana hwa jamaa ni corrupt kupita maelezo usiombe uingie kwenye 18 zao
 
Back
Top Bottom