bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sio afrika lakini.Kwa hiyo sisi tumeamua kuwa hivi ili kulinda maslahi ya matumbo ya polisi?! Kama tunashindwa kumanage nchi kwa sababu ni kubwa si tuwagawie wengine tubaki na kanchi kadogo kama wilaya ili iwe manageable?;
By the way zipo nchi ngapi Duniani ambazo ni kubwa kubwa lakini zina mifumo Imara?
Ukiharibi na kazi huna, inalink na mshahara, kama kamera off hujaingia kazini siku hiyoNa kwa kuanzia, basi tungeanza na wale jamaa zangu wa barabarani. Wallah tena hao jamaa, wataziharibu hizo camera kwa makusudi kabisa.
Maslahi yakiwa duni wana haki ya kupokea rushwa? Too pathetic.Boresha maslahi Yao kwanza
Mbona napo Botswana it's almost zero corruption, why sisi tunashindwaHapo tu Rwanda wameweza, wale wana maslahi gani? Kama kazi upolisi Ina maslahi madogo mbona hawaaxhagi kazi? Wacha kutudanganya
Uhuni Na Uongozi dhaifu, hakuna jingine.Mbona napo Botswana it's almost zero corruption, why sisi tunashindwa
Hivi hao walimu waliouza vishikwambi ni wa wapi, unaweza kuja na mifano halisi na sio maneno matupu?Vishkwambi vya walimu vingi tu sahizi washauza sembuse polisi wapewa body cam?Kwanza connection za akina amba ruti zinatutosha hatutaki na za manjagu.
na atakaekuwa akiwafuatilia nae avalishwe kamera,manake nae atakuwa akichukua mgao!!Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
View attachment 2892394
Ingekua maslahi yanazuia rushwa vigogo wa taasisi wasingekula rushwaBoresha maslahi Yao kwanza
Vishkwambi navyo ni vitu vya kuongelea kama mjadala wa kitaifa[emoji848][emoji848][emoji848]Vishkwambi vya walimu vingi tu sahizi washauza sembuse polisi wapewa body cam?Kwanza connection za akina amba ruti zinatutosha hatutaki na za manjagu.
Polisi wa Tanzania ni tatizo kubwa Sana ktk nchi hii, hatua za dharula zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na janga hili baya lililopo.Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
View attachment 2892394