Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Amin-Mohamed-and-Matiangi.jpg
Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed, amesema maafisa wamefanya uvamizi baada ya Waziri huyo Mstaafu kukataa kutoa Kanda hizo za Video za CCTV ili kuthibitisha madai yake ya kuvamiwa.

DCI Amin amesema "Baada ya kukamilisha uchunguzi wetu, tutachukua hatua kwa Afisa wa Idara yoyote ya Usalama alihusika na shughuli yoyote bila idhini au kama kuna taarifa yoyote ya uongo ilisambazwa kwa makusudi na mtu yeyote tutafanya uchunguzi kwa kuzingatia sheria na bila upendeleo".

===============

Police have raided former interior CS Fred Matiang'i Karen home moments after DCI boss Amin Mohamed said they had a search order to obtain CCTV recordings.

The DCI says it has a search order to obtain CCTV recordings from the home of former Interior Cabinet Secretary Fred Matiang'i to establish facts surrounding alleged police raid last Thursday.

"Upon completing our investigation, we will take action if any officers from any security agency were involved in any unauthorized activities, or if any false information was knowingly disseminated by anyone to the public," DCI says in a statement.

It says it is committed to conducting impartial investigations and upholding the rule of law.

NATION
 
Back
Top Bottom