Polisi wavamia Ofisi za ACT-Wazalendo Vingunguti alizokuwepo Zitto Kabwe

Kwanini usizungumzie nafsi yako? Mimi kama mimi nataka maandamano ya kupinga huo ushindi feki chini ya jiwe. Huyu jamaa nampa laana zote zilizo duniani
 
Kwani hujajifunza polisi wa kukamatwa na kwa mwanamke lzm akatwe mtama ili apigwe pingu hapa bongo wao polisi oyaoya una uwezo wa kutoa mpaka maneno ya shombo wanakuangalia jifunze mzee.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeipenda Hii "CCM, wametumia nguvu na gharama kubwa sana za uchaguzi wakati kumbe mkononi walishaandaa njia ya mkato ya kushinda uchaguzi kwa asilimia zote! Wastage of time and resources!"
 
Wasituchoshe Watanzania, nia yao ni kuvuruga amani. Kama wanaona wameonewa kwenye uchaguzi waende kwa mabeberu washitaki, tuone kama watanyima misaada.

Kuhamasisha maandamano ni kuleta taharuki isiyo na sababu kwa Wananchi.
Taaruki inakuja njaa inapouma,uchumi wa mtu mmoja mmoja unapoharibika,tangu 2015,tunaisoma namba,Kuna watu wanaendesha maisha yao kwa kuuza data/bundle,sasa mtandao. Umezimwa utafikiri nchi ipo vitani,wewe huoni Kama hiyo ni chanzo Cha taaruki kabisa
 
Wasituchoshe Watanzania, nia yao ni kuvuruga amani. Kama wanaona wameonewa kwenye uchaguzi waende kwa mabeberu washitaki, tuone kama watanyima misaada.

Kuhamasisha maandamano ni kuleta taharuki isiyo na sababu kwa Wananchi.
Wewe unachoshwa na mumeo unakuja kusingizia wengine hapa
 
Tulia wewe mammalia beberu limeshasema waachiwe bisheni muone mipini itakavyozama kunako
 
Trump aliziita nchi zetu za Afrika 'shit hole countries'..tukapiga kelele
 
Wasingetishwa na majeshi wangeandamana.
 
Nimeipenda Hii "CCM, wametumia nguvu na gharama kubwa sana za uchaguzi wakati kumbe mkononi walishaandaa njia ya mkato ya kushinda uchaguzi kwa asilimia zote! Wastage of time and resources!"
Hii kweli ni kituko sana. Kumbe ilikuwa wakae tu ndani wanywe kahawa halafu siku ya siku wanajitangaza kama walivyofanya.

Sasa migari yote ile, helkopta, wasanii, kusombelea watu kwenye malori hizi ni gharama kubwa sana bila sababu za msingi.
 
CCM imepata 'wizi wa kishindo' baada ya dikteta kuonyesha rangi yake halisi ya kutaka kuzeekea katika kiti Cha ufalme
 
Kazi nzuri, hongera jeshi la polisi. Amani lazima ilindwe kwa nguvu zetu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…