Polisi wavamia Ofisi za ACT-Wazalendo Vingunguti alizokuwepo Zitto Kabwe

Primitive ni wewe jomba, unayedhani demokrasia ni mpaka wewe ndiye utangazwe mshindi.
Hiki chama cha Mbowe mapunguani mengi Sana. Wao bila Mbowe kuchaguliwa hakuna uchaguzi. Watanzania safari hii tumesema no kwenye saccos. Hiki Chama cha mawakala wa beberu, milele daima hakiwezi kutuongoza watanzania.
 
JAMIII IMEKUWA SI MAHALA SALAMA...WATU WANATOA DETAILS TUNAPOTEANA..WANATAKA TU COMMENT KIMOYOMOYO
 
Nimeipenda Hii "CCM, wametumia nguvu na gharama kubwa sana za uchaguzi wakati kumbe mkononi walishaandaa njia ya mkato ya kushinda uchaguzi kwa asilimia zote! Wastage of time and resources!"
Mkuu ishu ya kutumia kura feki ilikuja mwishoni baada ya kuona kwenye kampeni watu wanavyomkataa jiwe na kumsapoti Lissu, so wakabadili plan ya kuiba kura na kutumia hii iliyotumika. Unakumbuka katikati ya kampeni Jiwe aliomba po na kupotea kidogo
 
Viongozi wanaongangania tujiajiri wao now wanasaka Akira kwa nguvu
 
Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Kama wananchi hawataki maandamano kwanini mnawakamata viongozi? si muwaache ili wananchi wawapuuze tu?
 
Siyo kila mtu yuko Tanzania mkuu
Kwa hiyo unahamasisha watu waandamane bila sababu ya msingi, ili wavunje sheria na wapate madhara, washindwe kuendesha maisha yao na shughuli zao, ingali wewe haupo Tanzania, wewe ni mpumbafu sana
 
Anayeleta vurugu na yeye mvuruge mpaka achanganyikiwe pimbi hawa wasituchoshe kisa matumbo yao ambayo hayashibi mamilioni wanayochukua kila baada ya miaka mitano...
 
Mkuu you have spoken well.
 
Jeshi la polisi kazi yake ni kuhakikisha kuwa amani sheria havivunjwi kwayo yoyote akiwa na lengo la kuvuruga amani lazima sheria ifuate mkondo wake
 
Kwa hiyo unahamasisha watu waandamane bila sababu ya msingi, ili wavunje sheria na wapate madhara, washindwe kuendesha maisha yao na shughuli zao, ingali wewe haupo Tanzania, wewe ni mpumbafu sana
Sidhani kama kuna haja ya matusi mkuu, kwani lazima wote tuishi Tanzania? Pamoja na kuwa mbali lakini lazima tuwape hamasa waliopo huko na soon tunarudi nyumbani
 
Huna aki
Lazima dunia itutenga na kuchukua hatua maana tumekuwa primitive kupita kiasi.
Huna akiri kabisa, kila siku unataka kutengwa si ukaishi porini huko ujitenge,
Mmekuwa mnahamasisha kunyimwa mikopo kila mara mnaona hawataki kama mnataka wafanye hivyo si mwende huko muwakatikie viuno labda mtasikilizwa.
 
Sidhani kama kuna haja ya matusi mkuu, kwani lazima wote tuishi Tanzania? Pamoja na kuwa mbali lakini lazima tuwape hamasa waliopo huko na soon tunarudi nyumbani
Njoo haraka kabala watu hawajasahau ili uvunjwe kiuno na ushindwe kwenda kufanya mambo yako huko ulikotoka.
Maana mmechoshwa na furaha sasa mnataka maumivu.
 
Sidhani kama kuna haja ya matusi mkuu, kwani lazima wote tuishi Tanzania? Pamoja na kuwa mbali lakini lazima tuwape hamasa waliopo huko na soon tunarudi nyumbani
Na Mimi ngoja niseme kuna baadhi ya watu wako mbali wanahamasishe wenzao ujinga walioko nyumbani lazima tuseme kwamba wakome kabisa watanzania tuna akili timamu hatuendeshwi na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…