Kama wananchi wamewakataa, njia rahisi kabisa ya kuonesha hilo ilitakiwa iwe kuwaachia wafanye maandamano.Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Huwezi ukajua uchungu wa kufiwa kama hujawahi kufiwa, huwezi ukamwambia mtu ale mavi wakati wewe huyali hayo mavi. WATANZANIA WALIO WENGI WAMEAMUA KUFANYA DEMOKRASIA YA KUMCHAGUA MAGUFULI SASA MAANDAMANO YA NINI? HATUTAKI MAANDAMANOSidhani kama kuna haja ya matusi mkuu, kwani lazima wote tuishi Tanzania? Pamoja na kuwa mbali lakini lazima tuwape hamasa waliopo huko na soon tunarudi nyumbani
Shubammit kabisa hawa manyumbu.Wqqndamanajo wote wako kwenye keyboard wamejifungia
THIBITISHA UJUMBE WAKOjeshi la polisi sasa limeshindwa kujitofautisha na vikundi vya kigaidi
Wanajifanya wameonewa kumbe aibu ya kushindwa kwenye kura , jamani watanzania wanaichukia ushoga na kutawaliwa tena.Shubammit kabisa hawa manyumbu.
HATUTAKI MAANDAMANO CHAGUO LETU NI MAGUFULI NA TUMESHAMCHAGUA.
Lingetimia kama mngechezea fimboKimsingi lengo la maandamano limetimia
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 wamemuacha zito peke yake kaenda polisiWqqndamanajo wote wako kwenye keyboard wamejifungia
Jeshi la Polisi @tanpol wamevamia Ofisi ya ACT -Wazalendo Kata ya Vingunguti ili kumkamata Kiongozi wa Chama, Zitto Kabwe aliyekuwa Ofisini hapo kuratibu Maandamano kwa Njia ya Buguruni kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
===
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tuHuwezi ukajua uchungu wa kufiwa kama hujawahi kufiwa, huwezi ukamwambia mtu ale mavi wakati wewe huyali hayo mavi. WATANZANIA WALIO WENGI WAMEAMUA KUFANYA DEMOKRASIA YA KUMCHAGUA MAGUFULI SASA MAANDAMANO YA NINI? HATUTAKI MAANDAMANO
THIBITISHA UJUMBE WAKOjeshi la polisi sasa limeshindwa kujitofautisha na vikundi vya kigaidi
Wanajifanya wameonewa kumbe aibu ya kushindwa kwenye kura , jamani watanzania wanaichukia ushoga na kutawaliwa tena.
hata aibu huoni unalazimishwa kutengwa!nani anawajua nyie vibaraka?Lazima dunia itutenga na kuchukua hatua maana tumekuwa primitive kupita kiasi.
Vipi kuhusu vitisho vya polisi? Maandamano ni halari ki sheria ilimradi yawe ya amani, upande wa pili wako tayari hata kwenye hayo ya amani? Sio kweli wananchi hawataki kuandamana isipokuwa ni hatari kuandamana.Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.
Uko sahihiHii ni hatari kubwa!
Ndio maana wazungu huwa wanatudharau, Utakuta jambo la kufanya kistaarabu na kwa kutumia muda na nguvu ndogo tu, Sisi waafrika tunahangaika vibaya mno na hata kutumia rasilimali nyingi isivyostahili! Donald Trump aliwahi kuwaponda viongozi wa Afrika akisema ....Give them weapons and they will kill themselves instead of fighting their enermies!
Hili tumeliona hata kwa serikali na CCM, wametumia nguvu na gharama kubwa sana za uchaguzi wakati kumbe mkononi walishaandaa njia ya mkato ya kushinda uchaguzi kwa asilimia zote! Wastage of time and resources!
After all; jesh la polis wanapaswa kufahamu kuwa kuitisha maandamano sio kosa bali kosa ni kuandamana bila kibali. Pia kosa la kuandamana bila kibali adhabu yake sio kupigwa mabomu wala au kudhuriwa kwa namna yoyote bali, adhabu yake ni kushtakiwa na mahakama ndio itowe uamuzi kama wahusika wana hatia au lah!
Kinyume cha hapo ni kujichukulia sheria mkononi huku jeshi lenyewe likijuwa fika kuwa katika suala zima la wananchi kuandamana, jukumu la jeshi sio kutoa kibali cha kuruhusu au kutoruhu maandamano bali ni kutoa ulinzi kwa waandamanaji!
Hivi kweli wananchi wakiamua kuandamana wanaweza kukatazwa?Kama wananchi wamewakataa, njia rahisi kabisa ya kuonesha hilo ilitakiwa iwe kuwaachia wafanye maandamano.
Halafu tungeona wananchi wanavyowakataa.
Kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuandamana kunaonesha serikali ya CCM inaogopa nguvu ya watu watakaowaunga mkono kwenye maandamano.
Hata kama wananchi hawawaungi mkono.
Lakini si mlisema hamtaogopa vitisho?Vipi kuhusu vitisho vya polisi? Maandamano ni halari ki sheria ilimradi yawe ya amani, upande wa pili wako tayari hata kwenye hayo ya amani? Sio kweli wananchi hawataki kuandamana isipokuwa ni hatari kuandamana.
Wewe kweli kiazi yaniMkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
Mkuu maumivu ya serikali dhalimu ya jiwe nayajua vyema, huku nimekuja kwa muda tu, hata mwezi sijafikisha na soon narudi huko. So maovu ya jiwe nayajua vizuri sana. Je unajua hata mikataba ya madini mpaka leo ni siri ya Jiwe? Achilia mbali manunuzi ya ndege, sidhani kama hata wewe unajua alinunua kwa fedha kiasi gani. Au na wewe ndiyo wale wanaosema kuwa hawataki kujua bei wala faida ya hizo ndege, wao wanataka kuziona zinaruka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona we umemng'ang'ania mmeo.Acha kuwa na akili ya kilofa wewe, ukitishwa umuache mumeo utamuacha?
Aziza usimuache mmeoAcha kuwa na akili ya kilofa wewe, ukitishwa umuache mumeo utamuacha?
Wananchi wamewakataa kabisa , wanataka kuichafua njia nyingine kuichafua nchi, asiyekubali kushindwa si mshindani wanadhani wananchikuwa hawajawaelewa ndio hata maandamano wananchi hawataki.