Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Kufungua tawi ni mkutano! Rudi darasani ujifunze kiswahili.Zitto bana, hivi kashasahau kwamba mikutano ya hadhara bado haijapata kibali.
Mbaya zaidi Zitto na kikosi kazi wameshauri serikali isihangaike na swala la katiba mpya mpaka baada ya uchaguzi wa 2025 😂Zitto bana, hivi kashasahau kwamba mikutano ya hadhara bado haijapata kibali.
Zitto kawa mdogo kama piriton, Zitto usizibe masikio, ukirafikiana na chatu, kaa ukijua kuna siku atakumezaPolisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
View attachment 2417526View attachment 2417527View attachment 2417528View attachment 2417529
Acheni utani..picha no 1 mwamba anasinzia kalewa PILAO.. hao wamealikwa bwana comedy...Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
View attachment 2417526View attachment 2417527View attachment 2417528View attachment 2417529
Nilitaka kukomenti,umenisaidia,Zitto anatumika kuwaharibia Chadema baada ya kuona kunamuitikio kwa kwa JJ MnyikaWanataka kumzuia Kamanda J J Mnyika aliyeko Kusini
Janja ya nyani Hiyo!
Mzalendo halisi..Wanataka kumzuia Kamanda J J Mnyika aliyeko Kusini
Janja ya nyani Hiyo!
Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.
Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.
View attachment 2417526View attachment 2417527View attachment 2417528View attachment 2417529
Huyo snitch anaweza kuwa ametumwa kwa mpango maalum, siku chache zijazo majibu yatapatikana.
Kinyume na hapo wacha wamtandike nje ndani, sasa wanampiga Bara na Visiwani.
Nilitaka kukomenti,umenisaidia,Zitto anatumika kuwaharibia Chadema baada ya kuona kunamuitikio kwa kwa JJ Mnyika