Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

Walinzi wa CCM katika ubora wao...

1668515326745.png

Polisi wa Tanzania, mnakubali kutumika kisiasa kwa maslahi duni huku wanaowatuma wanazurura hovyo nchini ndani ya ma-V8...tazama hayo ma-Viatu!
 
Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.

Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.

View attachment 2417526View attachment 2417527View attachment 2417528View attachment 2417529
Mbona hao "Polithi" wamekaa kinyonge hivyo?
Utadhani kuku wanasubiri kuchinjwa[emoji848]
Enewei hiyo script imekaa utamu sana[emoji41]
 
BREAKING NEWS!!!! Police-CCM wapata habari za kiintelijensia kwa haraka na kufika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo mapema sana kwa ajili ya uokoaji kabla ya maafa ya vifo na majeruhi kutokea. Jeshi la polisi lipo makini sana kwenye sualala la uokoaji wa wananchi, mpaka sasa hakuna taarifa za vifo au majeruhi
 
Zitto anaanza fujo na ku test jeshi la polisi.. Nani katoa vibali vya mikutano ya hadhara wakati huu ambao sio wa kampeni? Polisi kamateni huyo, piga rumande, sisi tunataka maji, umeme, hospitali, barabara nzuri, elimu bora, watu wafanye kazi kwa uhuru na usalama, amani itawale, sio mikutano ya hadhara. Watu wanataka maendeleo in short.

Mikutano ya hadhara wakati huu sio wa kampeni tutakula mikutano? Jamani, watu hawana muda huo wakati huu ni muda wa kuchapa kazi..
 
We ni mtu wa aina gani? Kakwambia ulikua mkutano, huo umeme kila siku mnataka miaka 61 bado mnasumbuka nao
 
Wamesikia mh KM yupo kusini nawao wanaenda huko huko Sasa sijui hawezi kwenda hata Biharamlo wakazindua tawi mpaka walipo Chadema nao ndio waende Ili kujipima nguvu wapumbavu hawa
 
Back
Top Bottom