Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

Walinzi wa CCM katika ubora wao...

View attachment 2417572
Polisi wa Tanzania, mnakubali kutumika kisiasa kwa maslahi duni huku wanaowatuma wanazurura hovyo nchini ndani ya ma-V8...tazama hayo ma-Viatu!
Wee keep shut.. Who told you viatu vya polisi vya kazi viwe kama vya kulia harusi? Hivyo ndio vyenyewe, vigumu, ngozi ngozi, sasa ww shida yako kuwatusi polisi eti wana viatu vimechoka, FYI hivyo ndio viatu vya kazi, sura yake iko hivyo tokea vipya hadi vitaachwa.
 
Hayo ni maigizo ya ccm kuudanganya umma kuwa hata act wanazuiwa sio chadema tu..nani asiyejua mbinu za kitoto za kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Zitto anaanza fujo na ku test jeshi la polisi.. Nani katoa vibali vya mikutano ya hadhara wakati huu ambao sio wa kampeni? Polisi kamateni huyo, piga rumande, sisi tunataka maji, umeme, hospitali, barabara nzuri, elimu bora, watu wafanye kazi kwa uhuru na usalama, amani itawale, sio mikutano ya hadhara. Watu wanataka maendeleo in short.

Mikutano ya hadhara wakati huu sio wa kampeni tutakula mikutano? Jamani, watu hawana muda huo wakati huu ni muda wa kuchapa kazi..

Kuna faida gani nchi imepata kwa kuzuia mikutano kwa miaka Saba Sasa?. Zaidi ya mfumuko wa Bei na mgao wa maji na tozo juu?. Tuache ubinafsi nchi ni ya watanzania wote na vyama vyote sio CCM pekee yake.
 
Mbona askari wametulia kama wako kwenye kazi yao ya ulinzi na hawako kwenye hali ya uvamizi?.
 
Polisi Wilaya ya Tunduru wamevamia shughuhuli ya Ufunguzi wa Tawi la Chama cha ACT Wazalendo katika kijiji cha Namwinyu, Jimbo la Tunduru Kaskazini.

Ufunguzi huo wa Tawi ni sehemu ya ziara ya Kiongozi wa chama, Zitto Kabwe katika Mikoa mitatu ya Kusini.

View attachment 2417526View attachment 2417527View attachment 2417528View attachment 2417529
Kuna dalili zote kuwa ni tukio la kitengenezwa. False flag

Siku hizi ukiishiwa kiki unakwemda kwa kamanda unamlipa anatengeza tukio.
 
Back
Top Bottom