Polisi wavamia ufunguzi wa Tawi la ACT Wazalendo ukiongozwa na Zitto Kabwe

Walinzi wa CCM katika ubora wao...

View attachment 2417572
Polisi wa Tanzania, mnakubali kutumika kisiasa kwa maslahi duni huku wanaowatuma wanazurura hovyo nchini ndani ya ma-V8...tazama hayo ma-Viatu!
Wee keep shut.. Who told you viatu vya polisi vya kazi viwe kama vya kulia harusi? Hivyo ndio vyenyewe, vigumu, ngozi ngozi, sasa ww shida yako kuwatusi polisi eti wana viatu vimechoka, FYI hivyo ndio viatu vya kazi, sura yake iko hivyo tokea vipya hadi vitaachwa.
 
Hayo ni maigizo ya ccm kuudanganya umma kuwa hata act wanazuiwa sio chadema tu..nani asiyejua mbinu za kitoto za kijani.

#MaendeleoHayanaChama
 

Kuna faida gani nchi imepata kwa kuzuia mikutano kwa miaka Saba Sasa?. Zaidi ya mfumuko wa Bei na mgao wa maji na tozo juu?. Tuache ubinafsi nchi ni ya watanzania wote na vyama vyote sio CCM pekee yake.
 
Mbona askari wametulia kama wako kwenye kazi yao ya ulinzi na hawako kwenye hali ya uvamizi?.
 
Kuna dalili zote kuwa ni tukio la kitengenezwa. False flag

Siku hizi ukiishiwa kiki unakwemda kwa kamanda unamlipa anatengeza tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…