PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Sheria ya data protection inahusu watu gani?

Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya Rais, unatekwa kamatwa, teswa, Poteza. Tanzania Mungu Tusaidie.

Tamko la Polisi hili hapa chini

======

TAARIFA KWA UMMA

Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaturu, Mlinzi wa Kamp
uni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la whatsApp lijulikanalo kwa jina la SAUTI YA WATANZANIA.

Mtuhumiwa alikamatwa akiwa maeneo ya njia panda ya Makiungu Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Kulingana na ushahidi uliokusanywa kabla na baada ya kukamatwa kwake, unaonyesha katika kundi hilo yupo pamoja na wasimamizi wengine wa kundi hilo la whatsApp (Group Admin’s) na wanashirikiana na baadhi ya watu waliopo nchini na wengine wakiwa nje ya mipaka ya nchi yetu.

Alioshirikiana nao kupanga, kuendelea kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani ni pamoja na wanaotumia namba zifutazo;

1. +44746913055
2. +46732533609
3. +1(240)423-3331
4. +44784821186
5. +1(649)9348015
6. +255758000000
7. +255655684245

Uchunguzi unakamilishwa ikiwa ni pamoja na kuwapata wengine anaoshiriana nao na wanatumia namba ambazo hatujazitaja kwasababu za kiuchunguzi na ukamataji. Baada ya kukamilisha hayo hatua zingine za kisheria zitafuata.

Jeshi la Polisi, linatoa wito kwa wananchi kuepuka kujihusisha na makundi ya mawasiliano mtandaoni yanayoendeshwa na watu waliopanga na wanaendelea kupanga kufanya uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani au kwasababu nyingine yeyote ile kwani huo ni uhalifu na hatutasita kuwachukulia hatua za kisheria bila kumwonea muhali yeyote yule atakayebainika.

Aidha, ni vizuri kila mmoja wetu kutambua kuwa, watu wa aina hiyo wanaopanga na kuhamasisha uvunjifu wa amani, wanaoumia ni sisi Watanzania wakati wao na familia zao hawapati madhara yoyote na wanaendelea kunufaika na fedha wanazolipwa kupitia makundi ya mawasiliano mtandaoni wanayoyaanzisha na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini.

Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
IMG-20251114-WA0028.jpg
IMG-20251114-WA0029.jpg
 
View attachment 3501770View attachment 3501771
20251110_183926.jpg
 
Hizo code number ni za wapi
 
Waliulizwa sana kuhusu wanaoteka na kuua nchi hii lakini hao wamewashinda kuwakamata wala kuwatambua, kwahiyo tuseme Tz ina kundi la ugaidi? Na ni kwanini haitangazwi hilo kundi kuwa la kigaidi ndo linateka na kuua.

Sie yetu macho
 
Sheria ya data protection inahusu watu gani?

Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya Rais, unatekwa kamatwa, teswa, Poteza. Tanzania Mungu Tusaidie.

Tamko la Polisi hili hapa chini

======

TAARIFA KWA UMMA

Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaturu, Mlinzi wa Kamp
uni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la whatsApp lijulikanalo kwa jina la SAUTI YA WATANZANIA.

Mtuhumiwa alikamatwa akiwa maeneo ya njia panda ya Makiungu Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

Kulingana na ushahidi uliokusanywa kabla na baada ya kukamatwa kwake, unaonyesha katika kundi hilo yupo pamoja na wasimamizi wengine wa kundi hilo la whatsApp (Group Admin’s) na wanashirikiana na baadhi ya watu waliopo nchini na wengine wakiwa nje ya mipaka ya nchi yetu.

Alioshirikiana nao kupanga, kuendelea kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani ni pamoja na wanaotumia namba zifutazo;

1. +44746913055
2. +46732533609
3. +1(240)423-3331
4. +44784821186
5. +1(649)9348015
6. +255758000000
7. +255655684245

Uchunguzi unakamilishwa ikiwa ni pamoja na kuwapata wengine anaoshiriana nao na wanatumia namba ambazo hatujazitaja kwasababu za kiuchunguzi na ukamataji. Baada ya kukamilisha hayo hatua zingine za kisheria zitafuata.

Jeshi la Polisi, linatoa wito kwa wananchi kuepuka kujihusisha na makundi ya mawasiliano mtandaoni yanayoendeshwa na watu waliopanga na wanaendelea kupanga kufanya uhalifu nchini kwa mwavuli wa maandamano ya amani au kwasababu nyingine yeyote ile kwani huo ni uhalifu na hatutasita kuwachukulia hatua za kisheria bila kumwonea muhali yeyote yule atakayebainika.

Aidha, ni vizuri kila mmoja wetu kutambua kuwa, watu wa aina hiyo wanaopanga na kuhamasisha uvunjifu wa amani, wanaoumia ni sisi Watanzania wakati wao na familia zao hawapati madhara yoyote na wanaendelea kunufaika na fedha wanazolipwa kupitia makundi ya mawasiliano mtandaoni wanayoyaanzisha na kuhamasisha uvunjifu wa amani nchini.

Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma,Tanzania
View attachment 3501770View attachment 3501771
Makuma wameshauwa raia wanaanza usenge kujipendekeza
 
Back
Top Bottom