PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Damu zisizo na hatia zinawatesa
 
Waache uchochezi,nani ajitolee kuwashitaki kwa uchochezi?
 
Your browser is not able to display this video.

Kwenye magroup tuweni makini, tupo wa watu waajabu kweli wasiopenda kuambiwa ukweli.

Nahisi ukishakuwa mboga mboga na akili unaacha kutumia kabisa.
 
View attachment 3502227
Kwenye magroup tuweni makini, tupo wa watu waajabu kweli wasiopenda kuambiwa ukweli.

Nahisi ukishakuwa mboga mboga na akili unaacha kutumia kabisa.
Tokeni kwenye hayo magroup,na kama your so desperate kua kwenye groups basi tumieni ambayo hayahusishi no za simu. Mtamalizwa kimya kimya watu hawana masikhara na ugali wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…