Polisi wazingira nyumba ya Lissu, Muliro aeleza sababu 'Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida'

View attachment 3318529
Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi.

Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma, alipendishwa kizimbani katika Mahakama ya Gakimu MKazi Kisutu Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo.

Akizungumza na JamiiForums leo Aprili 28, 2025 saa 4:04 asubuhi, Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano wa Chadema, Brenda Rupia amesema polisi hao wanataka kufanya upekuzi nyumbani kwa Lissu.

“Bado wapo hapo, hawasemi wanataka nini zaidi, maana kama angekuwepo Mwenyekiti (Lissu), tungesema ni house arrest (kukamatiwa nyumbani). “Tumewaomba vibali vya upekuzi, hawana,” amesema.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa sababu ya askari hao kufika mahali hapo, amesema ni ulinzi wa kawaida.
“Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida, sasa hao wanaosema tunafanya upekuzi waulize askari wameonyesha searching order au searching warrant? Maana kabla hujauliza kibali cha Mahakama kwa nini usiulize kibali cha polisi?” amehoji Muliro.

Ameongeza, “Waulize wenye nyumba sio viongozi wa Chadema. Inawezekana wameona watu wanapitapita wakawaita polisi. Sisi tunafanya ulinzi kwa watu wote, sio chama iwe ni Chadema, ACT Wazalendo au chama chochote.”

Akizungumzia ujio wa polisi hao, msaidizi wa Lissu, David Djumbe amesema awali walifika alfajiri wakiwa na magari manne na kuanza kugonga geti, lakini hawakufunguliwa.

“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi, ndipo akaambiwa mwenye nyumba (Lissu) hayupo hawawezi kuwafungulia,” amesema.

Djumbe amesema ndugu waliopo nyumbani hapo wameshindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao kwa kuwa nyumba imezingirwa.
😃😃😃Hii ndo Tanzania channel ya vituko mbinguni
 
Sasa unapeleka ulinzi kwenye nyumba ya watu ambao hawajaomba kulindwa?

Polisi wanaweza kwenda kulinda sehemu bila ya kuwa na sababu ya kulinda? Nani kawaambia Kwa Lissu wanataka ulinzi. Au ndiyo hiyo intelejensia yao?
Kama mlifurahia ya Palestina yamefika kwako sasa
 
Muliro anavyotumbua macho hayo utadhani ansongea vitu vya maana kumbe upuuzi mtupu.
 
Hii nchi sijui ni lini tutapata viongozi wasomi....wenye kuithamini nchi na vizazi vyake...sio hawa walinzi wa wanasiasa. Mungu hakika kama upo kwanini uruhusu mioyo ya watanzania walio wengi kutukutia kwa maumivu haya ya kukosa haki.
Dear God if you are there please do something....millions are suffering in the expense of these pigs.
Asante kwa kuwa utaenda,ni kwa jina la Yesu aliye mwokozi wetu. AMEN.
 
Sasa unapeleka ulinzi kwenye nyumba ya watu ambao hawajaomba kulindwa?

Polisi wanaweza kwenda kulinda sehemu bila ya kuwa na sababu ya kulinda? Nani kawaambia Kwa Lissu wanataka ulinzi. Au ndiyo hiyo intelejensia yao?
Waje kunilinda na mimi kama vipi? Wanajipa kazi sio zao
 
View attachment 3318529
Wakati kesi za Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo katika Mahakama ya Haki Mkazi Kisutu Dar es Salaam, askari wa Jeshi la Polisi wakiwa kwenye magari manne wamezingira nyumbani kwake kinachoelezwa kuwa wanataka kufanya upekuzi.

Lissu aliyekamatwa Aprili 12, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma, alipendishwa kizimbani katika Mahakama ya Gakimu MKazi Kisutu Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo.

Akizungumza na JamiiForums leo Aprili 28, 2025 saa 4:04 asubuhi, Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano wa Chadema, Brenda Rupia amesema polisi hao wanataka kufanya upekuzi nyumbani kwa Lissu.

“Bado wapo hapo, hawasemi wanataka nini zaidi, maana kama angekuwepo Mwenyekiti (Lissu), tungesema ni house arrest (kukamatiwa nyumbani). “Tumewaomba vibali vya upekuzi, hawana,” amesema.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro alipoulizwa sababu ya askari hao kufika mahali hapo, amesema ni ulinzi wa kawaida.
“Sisi tumeweka ulinzi wa kawaida, sasa hao wanaosema tunafanya upekuzi waulize askari wameonyesha searching order au searching warrant? Maana kabla hujauliza kibali cha Mahakama kwa nini usiulize kibali cha polisi?” amehoji Muliro.

Ameongeza, “Waulize wenye nyumba sio viongozi wa Chadema. Inawezekana wameona watu wanapitapita wakawaita polisi. Sisi tunafanya ulinzi kwa watu wote, sio chama iwe ni Chadema, ACT Wazalendo au chama chochote.”

Akizungumzia ujio wa polisi hao, msaidizi wa Lissu, David Djumbe amesema awali walifika alfajiri wakiwa na magari manne na kuanza kugonga geti, lakini hawakufunguliwa.

“Baadaye walikwenda kwa mjumbe wa shina ambaye aliwapigia simu wanafamilia akisema polisi hao wamekuja hapo kufanya upeukuzi, ndipo akaambiwa mwenye nyumba (Lissu) hayupo hawawezi kuwafungulia,” amesema.

Djumbe amesema ndugu waliopo nyumbani hapo wameshindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao kwa kuwa nyumba imezingirwa.
Kunabtatizo analo litengeneza huyu Muliro na system ina ona nisawa au labda wamesha oigwa upofu hawaoni hilo tatizo.
Rais nae haja gundua huu ujinga.
Muliro yuko ofisini kinyume cha sheria alitakiwa awe ana lea wajukuu by then.
Akili yake ime fika mwisho. Anacho tumia ni ubabe wa kijinga. Ambao una ligharimu Taifa.
 
Kipindi kile anapigwa risasi mbona hamkuweka ulinzi
 
Sasa unapeleka ulinzi kwenye nyumba ya watu ambao hawajaomba kulindwa?

Polisi wanaweza kwenda kulinda sehemu bila ya kuwa na sababu ya kulinda? Nani kawaambia Kwa Lissu wanataka ulinzi. Au ndiyo hiyo intelejensia yao?
Waje kulinda kwangu mabata wanakwiba
 
Back
Top Bottom