Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

Marekani umetoa mfano uliochukua asilimia 76 ya maandiko ya bandiko lako ila kwa Tz hutaki kabisa kutoa mfano. Unazunguka zunguka tu mkuu.

We ni askari polisi mkuu utakuwa.
usikute hwa ni mapoti tupu wanajibishana wenyewe humu. askari awe mzuri? sensibo? bongo ya wapi uko[emoji57]
 
Nimehisi hivyo pia. Itakuwa ni poti anajaribu kutuambia kuwa yeye ni mtu poa sana kwenye jamiii ila kuwaamini hawa watu ni ishu mno!!
 
usikute hwa ni mapoti tupu wanajibishana wenyewe humu. askari awe mzuri? sensibo? bongo ya wapi uko[emoji57]
Uliwahi kukamatwa kwa kosa lipi na ilikuwaje? ama umesikia malalamiko ya upande mmoja ya wengine?
 
Kweli utu na utulivu
HNWT6DgoBc18GVREvvsnAjfLwLF5qHHFduNHKinqD2KGsnBPExEEgfuWp5KpsQ2oSCgCZZLc9NnWUZdnimFPN2Y2D6MWG...jpeg
 
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao

Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni ikiwa imeshaisha wakati wake, alijitetea kuwa anatokea jimbo jingine nchini Marekani na kilichomfanya awepo hapo ni kusoma chuo. Alikuwa ameachishwa kazi siku chache zilizopita hivyo hakuwa na hela ya kulipia leseni.

Alimjulisha huyo Polisi kuwa alikuwa anaelekea kwenye usaili wa kazi.

Askari Polisi aliuona utetezi wa huyo kijana kuwa una mashiko. Alijikuta njia panda kama amwathibu kwa mujibu wa Sheria au amwache aendelee na safari kinyume cha Sheria.

Baada ya kutafakari kwa muda, aliamua kulipaki pembeni gari lake na kukamata usukani wa gari la huyo kijana na kumpeleka alikokuwa akienda, kwenye usaili.

Walifika eneo la tukio kwa kuchelewa kidogo, kwa hiyo aliamua kuwafuata viongozi wa hiyo Kampuni na kuwaomba radhi kwa kumchekewesha huyo kijana kufika kwenye usaili. Aliwaeleza kilichompelekea kumchekewesha na akaeleweka.

Huyo kijana alifanikiwa kufanya "interview" na kufaulu. Alipata kazi, na pia, alifanyiwa mpango wa kupata leseni ya ya muda wakati akikusanya hela ya kukatia ya kudumu.

Hii habari nimeisoma kwenye mtandao wa Quora.

Ingawa tukio hilo lilitokea Marekani, naamini hata hapa nchini kwetu kuna Askari wengi wema wa kupigiwa mfano.

Ninasema hivyo nikijua ninachomaanisha. Nimeshakutana na wa aina hiyo zaidi ya mara moja.

Tujizoeshe kuyasema mema ya Askari wetu kwa kadiri wanavyojitajidi kutenda kiusahihi.
Ndugu, kwa mazingira hayo polisi wa bongo wangeitana na kuanza kukutisha huku mioyo yao ikifurahi na kusema tumepata dili, jioni akirudi nyumbani akitoa buku buku na elfu 2 alizo zikusanya kama mamlaka ya mapato na pale inapofika muda wa kula anakaa na wanawe na kuanza kuwahtubia kuwa "upolisi raha, maana madili mengi yapo hivyo wangu kazeni"
 
kunakipindi nilikuwa natoka ******* ndani ndani huko nimeweka viroba viwili vya mkaa kwenye kirikuu, mvua inapiga. Traffic kanipiga mkono, moyoni nikasema nimekwishaa, nikapaki pembeni, nikawa mpole Traffic kaja kuangalia alivyoona mkaa hata sijaufunika kiviile. Alinambia unalijua kosa lako? Daah nikamchana ukweli kabisa "huu mkaa nampelekea mama umsaidie .... blaa blaa nyingi kwa hali ya kukiri kosa" Jamaa nikaona tu anapiga sim nikadhani ishakuwa ishu kataja na plate namba yangu ya gari. alivyomaliza akasema nenda ukiulizwa na Traffic mwingine mwambie ******* daaah nikapita free hadi nafika. Kwa siku hiyo nilitamani nibadili mtazamo wangu kwa police kwa ujumla 😆😆😆 ila bado I got no love kwa corps
 
Uliwahi kukamatwa kwa kosa lipi na ilikuwaje? ama umesikia malalamiko ya upande mmoja ya wengine?
visa mbona kibao tu. nitakupa kimoja. kuna siku tulipigwa mkono na poti mmoja tukiwa road. dele akapaki gari pembeni akiwa na uhakika gari haina shida. yule poti bana akaenda mojakwamoja kucheki bima. tukashangaa poti anarudi uku anachekelea[emoji1]. tukajua habari yetu imekwisha[emoji15]kumbe ile bima iliisha siku chache zilizopita. ikabidi kumpoza yule poti na faranga tukapotea zetu.

ugomvi mkubwa kati ya polisi na raia ni kwa sababu polisi muda wote wanataka faranga hata kama unatatizo yeye anataka umwachie chake hawaangalii kosa ni la kumuonya tu mtu ukamwacha atambae zake au la shida ndo upo apo
 
Ndugu, kwa mazingira hayo polisi wa bongo wangeitana na kuanza kukutisha huku mioyo yao ikifurahi na kusema tumepata dili, jioni akirudi nyumbani akitoa buku buku na elfu 2 alizo zikusanya kama mamlaka ya mapato na pale inapofika muda wa kula anakaa na wanawe na kuanza kuwahtubia kuwa "upolisi raha, maana madili mengi yapo hivyo wangu kazeni"
ndio walivo hujakosea yani
 
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao

Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni ikiwa imeshaisha wakati wake, alijitetea kuwa anatokea jimbo jingine nchini Marekani na kilichomfanya awepo hapo ni kusoma chuo. Alikuwa ameachishwa kazi siku chache zilizopita hivyo hakuwa na hela ya kulipia leseni.

Alimjulisha huyo Polisi kuwa alikuwa anaelekea kwenye usaili wa kazi.

Askari Polisi aliuona utetezi wa huyo kijana kuwa una mashiko. Alijikuta njia panda kama amwathibu kwa mujibu wa Sheria au amwache aendelee na safari kinyume cha Sheria.

Baada ya kutafakari kwa muda, aliamua kulipaki pembeni gari lake na kukamata usukani wa gari la huyo kijana na kumpeleka alikokuwa akienda, kwenye usaili.

Walifika eneo la tukio kwa kuchelewa kidogo, kwa hiyo aliamua kuwafuata viongozi wa hiyo Kampuni na kuwaomba radhi kwa kumchekewesha huyo kijana kufika kwenye usaili. Aliwaeleza kilichompelekea kumchekewesha na akaeleweka.

Huyo kijana alifanikiwa kufanya "interview" na kufaulu. Alipata kazi, na pia, alifanyiwa mpango wa kupata leseni ya ya muda wakati akikusanya hela ya kukatia ya kudumu.

Hii habari nimeisoma kwenye mtandao wa Quora.

Ingawa tukio hilo lilitokea Marekani, naamini hata hapa nchini kwetu kuna Askari wengi wema wa kupigiwa mfano.

Ninasema hivyo nikijua ninachomaanisha. Nimeshakutana na wa aina hiyo zaidi ya mara moja.

Tujizoeshe kuyasema mema ya Askari wetu kwa kadiri wanavyojitajidi kutenda kiusahihi.
😂😂😂😂😂😂Huu Uzi umefanya nicheke kwa sauti kubwa
 
Nikutonye kitu. Ikitokea leo Polisi wote wakawa wamebadilika na kuwa na maadili yanayofanana na yetu sisi raia; hatuna nchi. Askari ni waadilifu mno ukilingnisha na sisi raia
 
Back
Top Bottom