Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

Marekani umetoa mfano uliochukua asilimia 76 ya maandiko ya bandiko lako ila kwa Tz hutaki kabisa kutoa mfano. Unazunguka zunguka tu mkuu.

We ni askari polisi mkuu utakuwa.
usikute hwa ni mapoti tupu wanajibishana wenyewe humu. askari awe mzuri? sensibo? bongo ya wapi uko[emoji57]
 
usikute hwa ni mapoti tupu wanajibishana wenyewe humu. askari awe mzuri? sensibo? bongo ya wapi uko[emoji57]
Nimehisi hivyo pia. Itakuwa ni poti anajaribu kutuambia kuwa yeye ni mtu poa sana kwenye jamiii ila kuwaamini hawa watu ni ishu mno!!
 
usikute hwa ni mapoti tupu wanajibishana wenyewe humu. askari awe mzuri? sensibo? bongo ya wapi uko[emoji57]
Uliwahi kukamatwa kwa kosa lipi na ilikuwaje? ama umesikia malalamiko ya upande mmoja ya wengine?
 
Ndugu, kwa mazingira hayo polisi wa bongo wangeitana na kuanza kukutisha huku mioyo yao ikifurahi na kusema tumepata dili, jioni akirudi nyumbani akitoa buku buku na elfu 2 alizo zikusanya kama mamlaka ya mapato na pale inapofika muda wa kula anakaa na wanawe na kuanza kuwahtubia kuwa "upolisi raha, maana madili mengi yapo hivyo wangu kazeni"
 
kunakipindi nilikuwa natoka ******* ndani ndani huko nimeweka viroba viwili vya mkaa kwenye kirikuu, mvua inapiga. Traffic kanipiga mkono, moyoni nikasema nimekwishaa, nikapaki pembeni, nikawa mpole Traffic kaja kuangalia alivyoona mkaa hata sijaufunika kiviile. Alinambia unalijua kosa lako? Daah nikamchana ukweli kabisa "huu mkaa nampelekea mama umsaidie .... blaa blaa nyingi kwa hali ya kukiri kosa" Jamaa nikaona tu anapiga sim nikadhani ishakuwa ishu kataja na plate namba yangu ya gari. alivyomaliza akasema nenda ukiulizwa na Traffic mwingine mwambie ******* daaah nikapita free hadi nafika. Kwa siku hiyo nilitamani nibadili mtazamo wangu kwa police kwa ujumla πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila bado I got no love kwa corps
 
Uliwahi kukamatwa kwa kosa lipi na ilikuwaje? ama umesikia malalamiko ya upande mmoja ya wengine?
visa mbona kibao tu. nitakupa kimoja. kuna siku tulipigwa mkono na poti mmoja tukiwa road. dele akapaki gari pembeni akiwa na uhakika gari haina shida. yule poti bana akaenda mojakwamoja kucheki bima. tukashangaa poti anarudi uku anachekelea[emoji1]. tukajua habari yetu imekwisha[emoji15]kumbe ile bima iliisha siku chache zilizopita. ikabidi kumpoza yule poti na faranga tukapotea zetu.

ugomvi mkubwa kati ya polisi na raia ni kwa sababu polisi muda wote wanataka faranga hata kama unatatizo yeye anataka umwachie chake hawaangalii kosa ni la kumuonya tu mtu ukamwacha atambae zake au la shida ndo upo apo
 
ndio walivo hujakosea yani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huu Uzi umefanya nicheke kwa sauti kubwa
 
Nikutonye kitu. Ikitokea leo Polisi wote wakawa wamebadilika na kuwa na maadili yanayofanana na yetu sisi raia; hatuna nchi. Askari ni waadilifu mno ukilingnisha na sisi raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…