Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

Kila mtu hulipwa kwa kipimo sawa sawa na ujazo anaowapimia wengine

Polisi ni kama siyo watanzania wenzetu. Wameamua kuishi kama.maroboti. robot halina maisha kwani hufanyiwa programming na mmiliki.


Mkuu, waache wapambane na hali yao hafi watakapojitambua
 
😂😂😂😂
 
Hapo pana ukweli. Hata watoto wadogo wanawaogopa kwa jinsi wanavyowatendea raia ndivyo sivyo.
 
Yuko sahihi kabisa kulingana na miiko ya kazi yake
 
Kwenye utafiti wako kuna sehemu ulikwama kupata taarifa sahihi ama ulipotoshwa!

Kuhusu urafiki wa Polisi kwa Polisi siyo kweli.

Polisi hamuamini Polisi mwenzake sababu ya "kuchomana"!

Yaani Polisi akiielewa" michongo" ya rafiki yake, hawezi kustahimili "kumeza jiwe" ili iende.

Humzunguka mwenzake na "kumchomesha" kwa wengine lengo likiwa ni kusaka sifa ama cheo, ili mwisho wa siku "likibumburuka" asionekane yeye kuhusika.

Urafiki walionao ni urafiki wa mashaka sana.
 
Tena siku hizi ni afadhali sana.

Mkoloni na awamu ya kwanza waliwekwa kwenye sehemu zao maalum, ilikuwa ni mwiko kabisa polisi kuishi na raia na kuwa na urafiki na raia.

Naamini hizo kanuni zao bado zipo sema zinafungiwa macho tu siku hizi.
Kwa mara ya kwanza naona ume-reply thread bila kuhusisha dini!!

Yan ww hyo dini yako imekuua ukaoza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…