Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote nife ama ufe wewe ! Kwa sababu Hali sio shwari!
Mnaenda kumkamata mtu kwa kumvamia mnataka aamini ni kweli nyinyi ni polisi? Unaenda bila kitambulisho nitakuaminije?
Hujavaa sare za polisi unanichukuaje? Umeshika mitutu ya bunduki nakuaminije ? Gari uliyokuja nayo ni gari binafsi naondokaje na wewe?
Mtatulaumu Bure tu lakini badilisheni mbinu zenu za ukamataji