braza bonge
Senior Member
- Jul 13, 2018
- 140
- 226
Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!.
Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia.
Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi unakamilika ndani ya muda mfupi.
Sasa naomba kuuliza, je Kuna mtu uliyesoma naye, au ndugu Yako ambaye wakati wa makuzi yake alikuwa na tabia zifuatazo, na Leo ni Askari polisi?
Alikuwa na ajili darasani, angalau alikuwemo kwenye too ten?
Alikuwa church boy au ustadh mzuri kiasi Cha kuitwa shekhe?
Alikuwa ni mtu mpole, mstaarabu na mwenye hekima?

Naomba kuwasilisha.