Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Kwa kweli nimesikitishwa sana na hiki kitendo cha hawa vijana walichofanya kwa huyu binti.
Wamemfanyia ukatili wa hali ya Juu sana.
Binti aliomba hadi maji ya Kunywa lakini wahuni hawaelewi wao wanatimiza tu haja za nafsi zao m**bwa wale😡😡😡
Serikali kupitia vyombo vyake vya Sheria ikalitazame hili swala kwa Jicho la Pekee