Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Huyo mwanamke afande hafai kabisa katika jamii, naomba msisambaze video hizo kwani kufanya hivyo ni kusupport ukatili huo.
Yaani wakati mwingine kutoshirikisha akili kunaharibu maisha yako na ya watu wengine. Sijui huyo aliyewatuma alikuwa anawaza nini? Bado watu wana mapenzi ya kishamba sana.

Ukiona haukuthamini just move on. Maisha ni zaidi ya kumganda mtu ambaye zi ajabu mapenzi yalisha expire zamani.

Wako wanaume na wanawake wengi tu duniani , itampata tu wa kuendana naye.

Maamuzi ya kijinga na ya kikatili. Huko waliko hawana amani sababu wanajua ni kifungo cha maisha. Yaani mbususu au dushe likupeleke maisha jela? Hapana aisee. Maisha ni zaidi ya hayo.
 
Nimetoka IG. Mwanamke ni Capt, sema hao wajuba na roho mbaya ni hviii. Nadhani mafunzo pia, yanawapunguzia ule utu.
Kuna ndugu yangu nilishuhudia akimnyoosha mtoto mvivu wa shule aisee hatari. Ile picha ni ya miaka mi6 nyuma ila haijawahi nitoka.
 
Ni hawa wa kibongo ambao hawatumii akili kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom