Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Wachezaji wa akiba?
 
Zahera kaishiwa mbinu.Ana stress za kazi yao kuisha kwenye team ya taifa Congo Zaire.
 
Mechi ni ya kirafiki, kocha amewapa nafasi wachezaji wengi wa akiba ili kuona namna ya kuwatumia kwenye michezo ijayo, lakini wameendelea kumuangusha. Hakuna namna. Nina imani timu yetu itafanya vizuri kwenye michezo ijayo.
Keep hoping
 
nyie mambumbumbu misukule ya MO hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote hata yanga wafungwe 30 bila. kuweni na akili mazezeta ya manara
Shadeeya huyu ni shabiki mwenzio hajui hata maana ya mechi za kirafiki maskiniiiii hadi huruma πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Msimu huu ndiyo game ya kwanza timu imefungwa na ni mazoezi tu
Sio mazoezi hayo wangevaa training kit hiyo ni mechi ya kirafiki buda ndio maana walivaa Jersey kamili, Man united hizi mechi za kirafiki kashinda zoteeee
 
Yanga ilipofungwa goli 1 kwa 10 na wale bodaboda wa morogoro (hopefully wote wapo hai) nilisema kikosi cha kikosi cha watani nyuma pako wazi!!!

Mpaka bodaboda kombaini wanatupia goli moja!!

Mmejionea wenyewe, subirini gharika toka kwa mnyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…