Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Naamini yanga wataimarika tu mbele ya safari,

Changamoto yao kubwa kwa sasa ni lishe.
Yaani una maana walikosea kushindia matikiti kule Bigwa Morogoro?Au una maana lishe ipi?
 
Mmmh! Tunakubali maneno yenu Mtani lakini mkae mkijua siku mkiharibu hapatatosha hapa.
Mama la mama tuwe wakweli timu yetu ya wananchi ni mbovu kuliko ile mwaka Jana!

Kuna wachezaji wengi tumepigwa nafikiri ni 50 percent na sio 10percent kama ilivyo zoeleka.

Zahera ni mjanja mjanja tuu anatupa matumaini hewa.
 
Umeanza lini kuwa Yanga lakini Mtani? 😳😳
 
Mama la mama tuwe wakweli timu yetu ya wananchi ni mbovu kuliko ile mwaka Jana!

Kuna wachezaji wengi tumepigwa nafikiri ni 50 percent na sio 10percent kama ilivyo zoeleka.

Zahera ni mjanja mjanja tuu anatupa matumaini hewa.

Ukilinganisha Yanga ya mwaka jana na hii ya mwaka huu, kuna utofauti kidogo. Hii ya mwaka huu ina unafuu ingawa kuna baadhi ya wachezaji waliosajiliwa wanatia shaka uwezo wao. Mfano yule Kalengo, Issa Bigirimana na mwenyeji Jaffary Mohamed. Labda siku za usoni watabadilika. Molinga anahitaji muda ingawa napo sikuona sababu ya kocha kumuuza Makambo na pia kumuachia Gadiel Michael kujiunga na Simba.

Kiufupi Mwinyi Zahera kwa kiasi kikubwa ni mzinguaji pale kwenye timu yetu! Amekua na maamuzi yake binafsi kiasi unahisi yuko juu ya timu. Mfano mzuri ni suala la Benno Kakolanya! Mbona akina Yondani, Juma Abdul na Dante hawakufukuzwa baada ya kudai hela zao kama ilivyokua kwa Kakolanya?

Ukiondoa hiyo, amechelewa kujiunga na timu kwa sababu zake binafsi, halafu kwenye mechi za kirafiki anatumia utaratibu wa hovyo wa kubadilisha timu nzima badala ya wachezaji wachache ili kutengeneza 'chemistry' nzuri ya timu.
Inavyoonekana Mwinyi Zahera hafahamu presha ya wanachama na mashabiki kuweza kumuondoa hapo Jangwani kwa sababu tu ya maamuzi yake ya hovyo. Time will tell.
 
How dare you kumlaumu Papaa. Utakuwa mamluki wa Simba wewe. Papaa hakosei hata mara moja.How dare you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…