Tuombe uzima Mtani ili wote tupate kuyashuhudia.Lakini si amesema ukweli 8 ni halali yenu msimu huu.
.Mtalitambua hili Mtani pale tutakapowakalisha.
Ndio hivo,Yaani una maana walikosea kushindia matikiti kule Bigwa Morogoro?Au una maana lishe ipi?
Mkuu kufungwa ni kufungwa haijalishi ni mashindano au laa tayari ni RekodiPolisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Uongozi wa yanga unashida, tena sio ndogo, mwinyi zahera amewatia mfukoni anafanya chochote anachojua yeye, haulizwi wala kusemeshwa, hili la kuchelewa kuripoti kambini ilinishangaza Sana, timu inafanya preseason Kwa kucheza na wanakwaya?? Bodaboda kweli????Ukilinganisha Yanga ya mwaka jana na hii ya mwaka huu, kuna utofauti kidogo. Hii ya mwaka huu ina unafuu ingawa kuna baadhi ya wachezaji waliosajiliwa wanatia shaka uwezo wao. Mfano yule Kalengo, Issa Bigirimana na mwenyeji Jaffary Mohamed. Labda siku za usoni watabadilika. Molinga anahitaji muda ingawa napo sikuona sababu ya kocha kumuuza Makambo na pia kumuachia Gadiel Michael kujiunga na Simba.
Kiufupi Mwinyi Zahera kwa kiasi kikubwa ni mzinguaji pale kwenye timu yetu! Amekua na maamuzi yake binafsi kiasi unahisi yuko juu ya timu. Mfano mzuri ni suala la Benno Kakolanya! Mbona akina Yondani, Juma Abdul na Dante hawakufukuzwa baada ya kudai hela zao kama ilivyokua kwa Kakolanya?
Ukiondoa hiyo, amechelewa kujiunga na timu kwa sababu zake binafsi, halafu kwenye mechi za kirafiki anatumia utaratibu wa hovyo wa kubadilisha timu nzima badala ya wachezaji wachache ili kutengeneza 'chemistry' nzuri ya timu.
Inavyoonekana Mwinyi Zahera hafahamu presha ya wanachama na mashabiki kuweza kumuondoa hapo Jangwani kwa sababu tu ya maamuzi yake ya hovyo. Time will tell.
Mama la mama hunitaki au?? Basi kama haunitaki kuwa upande wa wananchi ngoja niende Simba sport club Kwa akina Sapta Sapta Kwanza huku Kwa wananchi kuna njaa tunashindia tikiti wakati akina OKW BOBAN SUNZU na Ghazwat wanakula rahaaa tuuu byeeeeeUmeanza lini kuwa Yanga lakini Mtani? [emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamini yanga wataimarika tu mbele ya safari,
Changamoto yao kubwa kwa sasa ni lishe.