Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Polisi yachomoa betri,yaipiga Yanga SC 2-0

Mtalitambua hili Mtani pale tutakapowakalisha.
.
images-23.jpeg
 
Yaani una maana walikosea kushindia matikiti kule Bigwa Morogoro?Au una maana lishe ipi?
Ndio hivo,

Timu inashindia matikiti na mikate unatarajia ifanye kipi kwa sasa. Kikubwa ipate mdhamini ili timu ipate chakula kinachostahili na mazoezi yanayoendana na mchezo wa soka, siyo kila siku wanapiga mazoezi ya jinsi ya kunyakua matikiti.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Polisi Tanzania watashiriki ligi kuu bara wakiongozwa na Seleman matola wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani wa ushirika Moshi baada ya ushindi huo wa goli mbili kwa sifuri,Magoli ya Marcel kaheza dakika ya sita na Ditram nchimbi aliyefunga dk ya 74,huu ulikua mchezo wa maandalizi kwa Yanga dhidi ya Township rollers ya Botswana ktk ligi ya mabingwa Afrika.
Mkuu kufungwa ni kufungwa haijalishi ni mashindano au laa tayari ni Rekodi
 
Ukilinganisha Yanga ya mwaka jana na hii ya mwaka huu, kuna utofauti kidogo. Hii ya mwaka huu ina unafuu ingawa kuna baadhi ya wachezaji waliosajiliwa wanatia shaka uwezo wao. Mfano yule Kalengo, Issa Bigirimana na mwenyeji Jaffary Mohamed. Labda siku za usoni watabadilika. Molinga anahitaji muda ingawa napo sikuona sababu ya kocha kumuuza Makambo na pia kumuachia Gadiel Michael kujiunga na Simba.

Kiufupi Mwinyi Zahera kwa kiasi kikubwa ni mzinguaji pale kwenye timu yetu! Amekua na maamuzi yake binafsi kiasi unahisi yuko juu ya timu. Mfano mzuri ni suala la Benno Kakolanya! Mbona akina Yondani, Juma Abdul na Dante hawakufukuzwa baada ya kudai hela zao kama ilivyokua kwa Kakolanya?

Ukiondoa hiyo, amechelewa kujiunga na timu kwa sababu zake binafsi, halafu kwenye mechi za kirafiki anatumia utaratibu wa hovyo wa kubadilisha timu nzima badala ya wachezaji wachache ili kutengeneza 'chemistry' nzuri ya timu.
Inavyoonekana Mwinyi Zahera hafahamu presha ya wanachama na mashabiki kuweza kumuondoa hapo Jangwani kwa sababu tu ya maamuzi yake ya hovyo. Time will tell.
Uongozi wa yanga unashida, tena sio ndogo, mwinyi zahera amewatia mfukoni anafanya chochote anachojua yeye, haulizwi wala kusemeshwa, hili la kuchelewa kuripoti kambini ilinishangaza Sana, timu inafanya preseason Kwa kucheza na wanakwaya?? Bodaboda kweli????
 
Hongera Polisi, natumai kwenye Ligi Kuu Tanzania bara mtaendeleza Moto huohuo
 
Tenka limelipuka baada mla matikiti fc akiwa na njaa kali kuamua kuchomoa betri kwenye tenka la polisi[emoji91][emoji91][emoji91]
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom