Pre GE2025 Polisi yaizuia Mkutano wa CCM kufanyika Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safi sana....

Kazi ya CHOMBO CHA DOLA ni kusimamia USALAMA NA UTULIVU WA NCHI....

Kongole jeshi letu la polisi[emoji7][emoji7]

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Vyama baadae [emoji7]
 
Kwa ajili ya usalama naamini polisi wako sawa kwa Sasa ngorongoro wanatakiwa kwenda watu wenye akili na utulivu wa kushauri sio wanasiasa ambao wengi hutaka kupata umaarufu
Hakika[emoji7][emoji7]
 
Imba imba mapambio mpaka utazeekea jf Kwa buku saba vyeo vinaenda na kina msigwa huku ukiwaimbia mapambio.
Bora umemwambia ukweli maana hata anaowaimbia na kuwatukuza ni viziwi waliokiri kutosikia wakiwa majini
 
Hivi ni viini macho. Hii taarifa haina tofauti na ile kesi tulivyo ambiwa kuna mwananchi wa Ngorongoro ali fungua kumbe ni mafekeche. Ccm wali mwagiza jaji feki na wakili feki watoe hukumu feki, ili wawe na pakuji ficha.
Huu mkutano baada ya Chadema kutoa taarifa za kwenda Ngorongoro na kukataliwa na polisi, Ccm wame toa hili tangazo kupunguza kelele za chadema. Hawana kitu hawa majambazi.
 
Wimbi la sarakasi ya chama kongwe dola kutumia vyombo vya dola kulaghai umma wa ndani na jumuiya ya kimataifa.

Sababu ni nini kwa kina, kuna shughuli zipi zinaendelea za kiusalama ...
 
Wanajitekenya afu wanacheka, kwanza wangeenda kuwambia nini wale Wamasai ili watole salama...?
 
Hivi kwani hata CCM inaombaga vibali. Ahaaa, hawa watu wana akili kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…