Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Justification tu Kwamba na chadema wasifanye. Siasa Za ujima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana....
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala
Taarifa ya Jeshi hilo iliyotumwa kutoka ofisi ya Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Ngorongoro kwenda ofisi kuu ya CCM wilaya ya Ngorongoro ikijibu barua ya CCM yenye kumbukumbu namba CCM/NGN/OFU/10/311/VOL. 111/37 ya Agosti 23.2024 imeeleza kuwa mikutano hiyo haijaruhusiwa.
Pia soma: Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa
Taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa kutokana na shughuli za kuimarisha usalama zinazoendelea katika maeneo hayo (Ngorongoro) Jeshi la Polisi limesitisha mikutano, mikusanyiko ya watu katika maeneo hayo nk, hadi hapo itakavyoelekezwa vinginevyo siku za usoni
Taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Agosti 27.2024 imesainiwa na SSP L.N.Ncheyeki ambaye ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Ngorongoro
Hakika[emoji7][emoji7]Kwa ajili ya usalama naamini polisi wako sawa kwa Sasa ngorongoro wanatakiwa kwenda watu wenye akili na utulivu wa kushauri sio wanasiasa ambao wengi hutaka kupata umaarufu
Bora umemwambia ukweli maana hata anaowaimbia na kuwatukuza ni viziwi waliokiri kutosikia wakiwa majiniImba imba mapambio mpaka utazeekea jf Kwa buku saba vyeo vinaenda na kina msigwa huku ukiwaimbia mapambio.
Hivi ni viini macho. Hii taarifa haina tofauti na ile kesi tulivyo ambiwa kuna mwananchi wa Ngorongoro ali fungua kumbe ni mafekeche. Ccm wali mwagiza jaji feki na wakili feki watoe hukumu feki, ili wawe na pakuji ficha.
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala
Taarifa ya Jeshi hilo iliyotumwa kutoka ofisi ya Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Ngorongoro kwenda ofisi kuu ya CCM wilaya ya Ngorongoro ikijibu barua ya CCM yenye kumbukumbu namba CCM/NGN/OFU/10/311/VOL. 111/37 ya Agosti 23.2024 imeeleza kuwa mikutano hiyo haijaruhusiwa.
Pia soma: Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa
Taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa kutokana na shughuli za kuimarisha usalama zinazoendelea katika maeneo hayo (Ngorongoro) Jeshi la Polisi limesitisha mikutano, mikusanyiko ya watu katika maeneo hayo nk, hadi hapo itakavyoelekezwa vinginevyo siku za usoni
Taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Agosti 27.2024 imesainiwa na SSP L.N.Ncheyeki ambaye ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Ngorongoro
MAIGIZO kwa vipi wakati nalaka hiyo hapo lives!, HONGERA CCM KWA KUTII MAAGIZO HAYO, NA HUU NDIYO UTI I WA SHERIA NA UTII KWA JESHI LETU, VYAMA VINGINE PIA VIJIFUNZE UTII WA NAMNA HIImaigizo tu ili chadema nao wasifanye
Mtu mwenye akili timamu hawezi toka CHADEMA kuja CCM labda awe na akili za kifisadi kama Msigwa.ndio mana tunawavuta chadema watoke humo ndugu wala haina shida uzuri wanga unaonekana
Hivi kwani hata CCM inaombaga vibali. Ahaaa, hawa watu wana akili kubwa sana.
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala
Taarifa ya Jeshi hilo iliyotumwa kutoka ofisi ya Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Ngorongoro kwenda ofisi kuu ya CCM wilaya ya Ngorongoro ikijibu barua ya CCM yenye kumbukumbu namba CCM/NGN/OFU/10/311/VOL. 111/37 ya Agosti 23.2024 imeeleza kuwa mikutano hiyo haijaruhusiwa.
Pia soma: Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa
Taarifa hiyo imeendelea kufafanua kuwa kutokana na shughuli za kuimarisha usalama zinazoendelea katika maeneo hayo (Ngorongoro) Jeshi la Polisi limesitisha mikutano, mikusanyiko ya watu katika maeneo hayo nk, hadi hapo itakavyoelekezwa vinginevyo siku za usoni
Taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Agosti 27.2024 imesainiwa na SSP L.N.Ncheyeki ambaye ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Ngorongoro
CHAMA CHA MAIGIZOmaigizo tu ili chadema nao wasifanye
Wanaona kila mtu ni mjinga kama waoHiyo inaitwa changa la macho
CCM ni matapeli snKwamba ujipige marufuku, kisha utii, halafu ujipongeze?
Kumbe offside ni kwenye kabumbu tu?
Kwa kumuonaje, nani vile ... ?
CCMCHAMA CHA MAIGIZO
Pole!Naipongeza sana CCM kwa kutii , kuheshimu na kufuata maelekezo ya jeshi la polisi. Wangekuwa ni Ma CHADEMA ungeona wanaanza kuropoka ropoka na kutoa matamko ya uchochezi na mavurugu tu.