MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
si walisema utekaji ni drama? Sasa mbona wao wanaleta drama zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si walisema utekaji ni drama? Sasa mbona wao wanaleta drama zaidi?
Eeee ..ni kweli, inawezekana ndo hawa hawa walimpiga risas tindu, wawahoji pia upotevu wa saa 8.Hili tulilipigia kelele sana enzi za Dkt Magufuli. Heko jeshi la polisi. Yaani hawa wahuni walimteka mpaka Mo
Zitaje kazi za polisi zaidi ya kulinda raia na usalama wao boss WANACHADEMA HUENDA WAKAKUELEWAAkili za baadhi ya wafuasi wa CDM saa zingine dah. Yaani kwa mtazamo wao the world revolves around them.
Kwenye fikra zao jeshi la polisi halina kazi nyingine zaidi ya kuwalinda wananchi na watanzania wote wanawaza siasa.
Watu wamepoteza ndugu zao, unaambiwa miili saba imefukuliwa na genge la mashetani linalokamata na kuuwa watu kwa imani za kishirikana.
Mungu tu anajua bila ya kushikwa wangeuwa watu wangapi wengine. Badala ya kupongeza jeshi la polisi kwa kazi waliyofanya na kuwa na huruma na familia na jamaa waliopoteza ndugu na jamaa zao.
Unasoma post hii Ina maana gani kama sio polisi kutaka kuzima habari zao. Yaani polisi hawana kazi ya kulinda wengine. Just appaling hata kusoma comments zao.
Zitaje kazi za polisi zaidi ya kulinda raia na usalama wao boss WANACHADEMA HUENDA WAKAKUELEWA
Matokeo ya kudharau taarifa za wananchi wanapokuja kutoa taarifa kuhusu kupotea kwa ndugu zao Polisi huwa hawachukui hatua haraka watakwambia hadi masaa 24 yapite, ndipo uende kuripoti polisi. This is impossible.kama watu waliuliwa hivi na Polisi wakawa hawajui basi hatuna Jeshi la polisi.
kwa sababu kazi yao ni kuzuia Uhalifu sio kushughulika na madhara yamatukio ya uhalifu huo
Serial killers kill for the sake of killingNajiuliza what is the motive behind all this, hasa wakati huu ambapo viongozi kadhaa wa Chadema wametekwa na hawajulikani walipo mpaka leo, tena zaidi ya wiki tangu kitekwa kwao?
Naamini hii ni mbinu ya polisj kutuandaa watanganyika kisaikolojia, ili siku ikifika waachiwe wale waliotekwa, isionekane kama polisi ndio walihusika kwenye kutekwa kwao.
Naandika hivi kwasababu jeshi la polisi limeshakanusha kuwashikilia mateka, akiwemo Soka aliyetekwa akienda kuchukua pikipiki yake kituo cha polisi.
Lakini wanasahau ni juzi tu walikiri wenyewe kumshikilia Kombo Mbwana kule Tanga kwa zaidi ya siku ishirini, huu mchezo wa kijinga walifundishwa na Samia, bahati mbaya sasa wameucheza vibaya ndio wanahangaika kujinasua, it's too late.
Na wananchi wamesema walikuwa wakiripoti polisi anakamatwa na kuachiwaMatokeo ya kudharau taarifa za wananchi wanapokuja kutoa taarifa kuhusu kupotea kwa ndugu zao Polisi huwa hawachukui hatua haraka watakwambia hadi masaa 24 yapite, ndipo uende kuripoti polisi. This is impossible.
Acheni kutu fanyia maigizo. Mna taka kutuaminisha kwamba kina Soka nao wame kamatwa na waganga?? Nonsense!! Naona msemaji yuko busy ku jaribu ku divert mada. Ujinga mtupu
Polisi hii taarifa yenu inatakiwa iende mbali zaidi,ni kweli vifo vinahusihwa na ushirikina lakini hamtuambii ni kwanini huu ushirikina unafanyika na ni kwaajili ya kupata nini ,na nani anawatuma hawa watu,hawa watu inawezekana kabisa kuna watu wanawatumia kwa manufaa yao binafsi......
Hata kikosi cha intelijensia nacho kilikuwa hakijui yote jhayo tangu June?kama watu waliuliwa hivi na Polisi wakawa hawajui basi hatuna Jeshi la polisi.
kwa sababu kazi yao ni kuzuia Uhalifu sio kushughulika na madhara yamatukio ya uhalifu huo
Kombo Mbwana, mwanachama wa Chadema Tanga, alifichwa na jeshi la polisi kwa zaidi ya siku kumi, pamoja na kutafutwa vituo vyote vya polisi hawakuambiwa alipo.Akili za baadhi ya wafuasi wa CDM saa zingine dah. Yaani kwa mtazamo wao the world revolves around them.
Kwenye fikra zao jeshi la polisi halina kazi nyingine zaidi ya kuwalinda wananchi na watanzania wote wanawaza siasa.
Watu wamepoteza ndugu zao, unaambiwa miili saba imefukuliwa na genge la mashetani linalokamata na kuuwa watu kwa imani za kishirikana.
Mungu tu anajua bila ya kushikwa wangeuwa watu wangapi wengine. Badala ya kupongeza jeshi la polisi kwa kazi waliyofanya na kuwa na huruma na familia na jamaa waliopoteza ndugu na jamaa zao.
Unasoma post hii Ina maana gani kama sio polisi kutaka kuzima habari zao. Yaani polisi hawana kazi ya kulinda wengine. Just appaling hata kusoma comments zao.
Mimi binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kuja kuwaamini hawa Jeshi la Polisi.kama watu waliuliwa hivi na Polisi wakawa hawajui basi hatuna Jeshi la polisi.
kwa sababu kazi yao ni kuzuia Uhalifu sio kushughulika na madhara yamatukio ya uhalifu huo
Hapo wanajitetea tu,naamimi kuna sehem wamejichanganya tu kuhusu hiyo taarifa.Summarise, taarifa ndefu sana.