Muliro kaeleza hapo kwamba majamaa wao wamedai ilikuwa milioni 9 ndo walichukua japo taarifa za awali zilieleza kwamba ni Milioni 10Million 9 tena?
ππππJe ni kweli ndio hao
Zipo gharama za intelijensia, kumbuka hilo pia.Million 9 tena?
Polisi wasichukiwe sana. Wakifanya jema wapongezwe.Hamuaminiki....potelea mbali HAMUAMINIKI