Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
PointiPOLISI hawafanyi kazi ikiwa hawakutafuti wewe na Tanzania ni nchi kubwa sana kama hutafutwi na polisi lakini ikiwa kinyume chake huoni kabsa sehemu ya kujificha licha ya umati wingi wa watu na mapoli yakujificha
Hakina anayewachukia, ila Hawaaminiki. Ni hilo tuPolisi wasichukiwe sana. Wakifanya jema wapongezwe.
Sio Polisi wote ndio maana baadhi yao hupewa termination.Hakina anayewachukia, ila Hawaaminiki. Ni hilo tu
Ndio hao si umesikia wameenda kununua ng’ombe nani mwenye akili za kuiba hela (cash) akanunue ng’ombe nchi hii kama sio WAMASAI?Wale wamasai wamepatikana kwanza.
Weee kwa macho yako hayo ya nyama kbs kbs unaona wale ni wamaisai.Ndio hao si umesikia wameenda kununua ng’ombe nani mwenye akili za kuiba hela (cash) akanunue ng’ombe nchi hii kama sio WAMASAI?
Ndio hawa wamasai waliomuwa wanalinda mahala pale mabibo?!Huo ndio utendaji wa jeshi la polisi usije kuuliza kwanini wananchi wanalichukia jeshi la polisi.
===============
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge.
View attachment 3605261
Naona matoziMbona sioni masai hapo
Wapuuzi Sana SanaMillion 9 tena?
Kwahiyo unataka kusema kila muuaji hukamatwa?!POLISI hawafanyi kazi ikiwa hawakutafuti wewe na Tanzania ni nchi kubwa sana kama hutafutwi na polisi lakini ikiwa kinyume chake huoni kabsa sehemu ya kujificha licha ya umati wingi wa watu na mapoli yakujificha