Polisi yakiri kumshikilia Kada wa CHADEMA Kombo aliyedaiwa kutoweka kwa siku 29!

Ukatiri huu hautakoma, pisi wanatekeleza maelekezo toka CCM ambao wamezoea ukatili
 
Na vitisho vya RC navo vilimuhusisha DG wa TISS. Usitete upumbavu kesho yatakukuta wewe au wa karibu.
 
Sasa ni dhahiri Watekaji ni polisi.
 
Huo uchadema wake unaingiaje kwenye hili sakata Lake??

Au hakuna namna nyingine ya kumtambulisha??
 
Kuna namna Jeshi la Polisi linakosa uweledi. Kwa kuwa Jeshi letu halipo independent siwezi kuwalaumu. Bila kufanya overhaul ya serikali kupitia Katiba ya nchi haya matendo ya kuteka yataendelea bila kukoma. Ukisoma kwa kina hii taarifa ya Polisi utagundua watekaji na wasiojulikana ni akina nani.
 


Inasikitisha sana jamani 😭😭🙆‍♂️
 
Maneno mengi mbele ya Camera mkifika mahakamani mnashindwa kuthibitisha kesi...kazi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…