Pre GE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli kabisa, Chadema wanachotaka kufanya ni uhaini, naona haya mambo aliyaandaa marehemu wa Tanga, Mwenyezi Mungu akampenda, sasa nadhani aliowapa mafunzo ya kijeshi wanataka kujipima
 
Mbowe
Mnyika
Boni
n.k wapeleke taarifa maana walikuwa well informed na hili tukio.
 
-Maandamano, yamvunjwa rasmi -
-Imetamkwa hivyo!
-Uchunguzi ukamilike kwanza!
Chadema/hq/012584/2024.
#Umma upuuze hili.
 
Wakati tukiendelea kusubilia uchunguzi anatekwa mwingine na kuuwawa!! Hii ndio Tanganyika ya CHURA.yy akistaff anaenda kwao znz.
All the best
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.

Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.

"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"

Sisi wanatanga tunasema, Ali Mohamed Kibao asitumike kama turufu ya kisiasa. Serikali iwachwe huru ifanye uchunguzi wake.

Msioelewa; Ali Mohamed Kibao ni zaidi ya siasa, kishakua CCM, Kishakua CUF kishakua Chadema na pengine hivi karibuni angekua ni ACT.

Hajawahi kua na ugomvi na CCM wala CUF wala Chadema wala chama kingine chochote cha kisiasa.
Simba.
 
Majadiliano ndiyo njia sahihi, maandamano huingiliwa na watu Waovu ndani yake, wenye husda mbaya, jambo linachunguzwa kwa kina na mamlaka sahihi za juu basi ni budi tuwe na subira kwanza!
Ndugu ni kama Pamba imewekwa masikioni kwa watawala.Nani wa kuchunguza kwa kina hapo?

Kuna kusema na kutenda,we umeona Watendaji.
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.

Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.

"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"

Chadema sasa what is the way forward? Haya ni mauaji ya watu, yataua watu. Napendeleza Mwenyekiti atoe tamko kuhusiana na upuuzi huu wa serikali. Autangazie ulimwengu kuwa 23/2024 ni siku ya mass murder maana wataua indiscriminately. Dunia ijue kuwa that date in Tanzania ni siku ya mauaji ya Kimbari, kama ya Rwanda
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.

View attachment 3094794

Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.

Soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"
Mzee Mbowe ni genge lake kwisha habari yao ,mlipewa nafasi ya kufanya siasa za kiustaarabu baada ya kuona kuwa yale maandamano uchwara yalishindwa kuleta tija iliyotarajiwa sasa mmenza siasa za kutaka kuonewa huruma .
 
Mi niko tayari kuandamana ila Mbowe aniruhusu niambatane na Binti yake Nicole
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.

View attachment 3094794

Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.

Soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"
Tutaandamana andaeni kina Mafwele wa kutosha.

GXSjdPnWUAAzb2j.jpg
 
Polisiccm bwana, kwenye maandamano hata wakisikia tu na si taarifa rasmi kwamba wamepelekewa. Harakaharaka wanakataza.
Watu wanatekwa mchana kweupe, wanauwawa hawaji haraka kuyaongelea na kutafuta ufumbuzi. Shida ni ccm kuingiza mifumo yote, kuwa ya kisiasa hatutaenda kokote mpaka Katiba mpya, wabanwe spana kwanza.
 
Yakijirudia ya UKUTA itanilazimu kubaki mtazamaji

Hatupaswi kurudi nyuma kwa sababu yoyote Ile isipokuwa watekeleze matakwa yaliyoamuliwa na chama

Wakuwajibika wawajibike na wanaowashikilia kinyume cha Sheria na wenyewe wawaachie

Tofauti na hapo tukutane tarehe 23
 
Back
Top Bottom