Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
So, now you see where the problem lies, don't you? If I apply the rules of logic from what you are saying, then the song is just an excuse to mazzle dissenting voices. Isn't it?
Viongozi wa vyama vya siasa na wengine wakumbe jambo lililotoke Georgia mwaka 2008. Katiba yetu ya sasa inaweka wazi masuala uhaini dhidi ya nchi yetu.Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.
Siyo kwamba wanaunga mkono tu vitendo vya utekaji, utesaji na kuua watu, Bali wao ndio watekelezaji wakuu wa mipango hiyo.Kauli iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini, kupitia Kwa msemaji wake, ACP David Misime, tarehe 12 ya mwezi huu kuwa wamepiga marufuku maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, tarehe 23 mwezi huu, ambapo chama hicho Cha Chadema, kimeeleza kuwa iwapo hadi tarehe 21 mwezi huu, Jeshi hilo litakuwa halijatoa taarifa ya wapi walipo viongozi wao waliotekwa, ambao ni Mwenyekiti wa vijana wa Temeke, Deosdadit Soka na wenzie wawili
Kwanza ningependa kuwakumbusha hao Jeshi la Polisi kuwa maandamano ya amani ni halali na ni jambo linalokubalika, Kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi na wanachopaswa kukitekeleza wao Jeshi la Polisi ni kuyapa ulinzi maandamano hayo, kuanzia mwanzo Hadi mwisho wake.
Kwa hiyo kitendo Cha Jeshi la Polisi nchini Cha kuyapiga marufuku maandamano hayo, sisi wananchi, tunapata tafsiri kuwa, wao Jeshi la Polisi nchini, wanaunga mkono, utekaji huu wa raia wasio na hatia na katika matukio kadhaa, wanauawa raia hao wasio na hatia.
Mungu ibariki Tanzania
Hakika.Siyo kwamba wanaunga mkono tu vitendo vya utekaji, utesaji na kuua watu, Bali wao ndio watekelezaji wakuu wa mipango hiyo.
They're the Main Suspect and the Key perpetrators of the ongoing Covert Clandestine Operations about the Abductions and Assassinations.
Halafu mma sijui amekula nini leo....katika uhalifu aliouzungumzia kuna mtu kasikia neno 'utekaji'?JESHI LA POLISI, LIAACHE UHUNI, JESHI LA POLISI LIACHE KUMUOGOPESHA SAMIA SULUHU.
MIMI SIO MPINZANI, ILA NISEME, JESHI LA POLISI WAACHE UHUNI HUUU.
YAAN MIPANGO OVU IPANGWE NA CHADEMA MBELE YA MKUTANO WA WAZI ?? ULOITWA WAZIWAZI ??KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ? YAAN MPANGO WA MACHAFUKO KUMUONDOA SAMIA, UPANGWE WAZIWAZI???.
JESHI LA POLISI LIACHE UHUNI NA KUTUMIA UANAMKE WA SAMIA , KUHAMISHA MAWAZO YA WATANZANIA NA DUNIA KUHUSU MAUAJI MBALI MBALI YANAYOENDELEA NCHINI HAPA NA YANAYOUNGANISHWA NA JESHI LA POLISI MOJA KWA MOJA.
GAIDI ASIYEKUA NA SILAHA, HUFIKISHWA MAHAKAMAN, SIO KUULIWA , NA HATA ANGEKUA NA SILAHA, KAMA UNAUSHAHIDI, MKAMATE MFIKISHE MAHAKAMANI .
VIJANA WA KITANZANIA, SIMAMENI, HAWA WAHUNI WAMEMSHINDA SAMIA .
RAI YANGU KWA UPINZANI, HAKUNA KURUDI NYUMA, SONGENI MBELE .
CHADEMA SI CHAMA CHA KIHAFIDHINA, CHADEMA SIO CHAMA CHA KIGAIDI WALA HAKIWEZI KUA NA NGUVU HIYO .
HAKI YA MZEE MOHAMED IPIGANIWE , KWA SASA NAONA SURA YA POLISI KUMUUNGANISHA MOHAMEDI NA HARAKATI ZA KIGAIDI... TUSEME HAPANA .... NA KAMA NI GAIDI, BASI WATUAMBIE GAIDI ALOKAMATWA NDANI YA BUS , KWANN AUWAWE NA SIO KUPELEKWA MAHAKAMAN.
JESHI LA POLISI, LIMEDHIHIRISHA UDHAIFU MKUBWA SANA, KUMBE NDO MAANA. HATA YULE RPC WA DODOMA, ALIAMUA KUSEMA "BINTI MWEMYEWE ANAONEKANA KAMA ANAJIUZA".
KAMA NI INTELIJENSIA, BASI INAWEZEKANA TANZANIA NDIO TINA INTELIJENSIA YA HOVYOOOO KUPINDUKIA, KIASI KWAMBA INASHINDWA KUDEAL NA MASUALA MTAMBUKA, YENYEWE INABAKI KUA NA TAARIFA ZA CHADEMA TU.
Samia ameshasahau walivyomuinguza chaka juu ya kesi ya mchongo ya Mbowe,watu wale wale walimlisha tango pori ndiyo kawapa kuliongoza jeshi la polisi,wataendela kumdanganya na kumtisha ili watimize malengo yao. Chadema hawana ubavu wa kumuangusha,wataandamana jioni watarudi kulala wakishatema nyongo yao ndiyo imeisha,ila hiyo njia anayodanganywa kuitumia ndiyo itakayomuondoa madarakani wala siyo Chadema.JESHI LA POLISI, LIAACHE UHUNI, JESHI LA POLISI LIACHE KUMUOGOPESHA SAMIA SULUHU.
MIMI SIO MPINZANI, ILA NISEME, JESHI LA POLISI WAACHE UHUNI HUUU.
YAAN MIPANGO OVU IPANGWE NA CHADEMA MBELE YA MKUTANO WA WAZI ?? ULOITWA WAZIWAZI ??KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ? YAAN MPANGO WA MACHAFUKO KUMUONDOA SAMIA, UPANGWE WAZIWAZI???.
JESHI LA POLISI LIACHE UHUNI NA KUTUMIA UANAMKE WA SAMIA , KUHAMISHA MAWAZO YA WATANZANIA NA DUNIA KUHUSU MAUAJI MBALI MBALI YANAYOENDELEA NCHINI HAPA NA YANAYOUNGANISHWA NA JESHI LA POLISI MOJA KWA MOJA.
GAIDI ASIYEKUA NA SILAHA, HUFIKISHWA MAHAKAMAN, SIO KUULIWA , NA HATA ANGEKUA NA SILAHA, KAMA UNAUSHAHIDI, MKAMATE MFIKISHE MAHAKAMANI .
VIJANA WA KITANZANIA, SIMAMENI, HAWA WAHUNI WAMEMSHINDA SAMIA .
RAI YANGU KWA UPINZANI, HAKUNA KURUDI NYUMA, SONGENI MBELE .
CHADEMA SI CHAMA CHA KIHAFIDHINA, CHADEMA SIO CHAMA CHA KIGAIDI WALA HAKIWEZI KUA NA NGUVU HIYO .
HAKI YA MZEE MOHAMED IPIGANIWE , KWA SASA NAONA SURA YA POLISI KUMUUNGANISHA MOHAMEDI NA HARAKATI ZA KIGAIDI... TUSEME HAPANA .... NA KAMA NI GAIDI, BASI WATUAMBIE GAIDI ALOKAMATWA NDANI YA BUS , KWANN AUWAWE NA SIO KUPELEKWA MAHAKAMAN.
JESHI LA POLISI, LIMEDHIHIRISHA UDHAIFU MKUBWA SANA, KUMBE NDO MAANA. HATA YULE RPC WA DODOMA, ALIAMUA KUSEMA "BINTI MWEMYEWE ANAONEKANA KAMA ANAJIUZA".
KAMA NI INTELIJENSIA, BASI INAWEZEKANA TANZANIA NDIO TINA INTELIJENSIA YA HOVYOOOO KUPINDUKIA, KIASI KWAMBA INASHINDWA KUDEAL NA MASUALA MTAMBUKA, YENYEWE INABAKI KUA NA TAARIFA ZA CHADEMA TU.
You have nailed Bro, CHADEMA hata waandamane usiku mchana, hawana means yoyote ya Kumuondoa Rais madarakan.Samia ameshasahau walivyomuinguza chaka juu ya kesi ya mchongo ya Mbowe,watu wale wale walimlisha tango pori ndiyo kawapa kuliongoza jeshi la polisi,wataendela kumdanganya na kumtisha ili watimize malengo yao. Chadema hawana ubavu wa kumuangusha,wataandamana jioni watarudi kulala wakishatema nyongo yao ndiyo imeisha,ila hiyo njia anayodanganywa kuitumia ndiyo itakayomuondoa madarakani wala siyo Chadema.
Makelele ya nini?
CHADEMA ijikite kwenye kuuza sera na sio kujifanya wao ndio Moral police wa Tanzania.
Mpaka nimemaliza kuandika, watu zaidi ya 1000 wamepotea Duniani na wasijulikane walipo.
Hakuna jeshi lelote lile la Polisi ambalo llinaweza kutatua tatizo la watu kupotea.
CHADEMA waache makelele yao na wauze Sera.
Kwani matukio yote ya kutekwa na ya kupotea yanayotokea kwa Wana CHADEMA tu?Ni kweli bro lakini utawezaje kuuza sera wakati unaona safu ya timu yako kila kukicha watu wako wanatekwa/kuuliwa?
Wanapaza sauti haswa lakini sio kwasababu wanawajali saaana waliopotea. Wanajali matumbo yao tu. Yaani wanatumia kila mwanya, kila wakati wa maovu yanayotokea, kuteka vichwa vya habari- kwa lengo moja kuu.Hivyo naona kama wako sawa kupaza sauti zao.
Uuseme ukweli, Yaani katika hizi vurugu mechi hakuna wa CCM ambaye alishapotea ama kuuwawa?Mfano CCM mjumbe mmoja wao wa halmashuri kuu ya cham angefanyiwa kama Mzee Ally wangejikita kwenye kuuza sera bila demonstration yeyote?
Mtu atakayesema haya yanayotokea hayamkeri, achunguzwe akili.Mimi najua ndani ya CCM kuna watu haya mambo yanawakera sema maisha yetu magumu ndiyo sehemu tunapatia mkate wa kila siku
Hitakiwi kumwamini yeyote anayevunja sheria.Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.
Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.
Pia Soma:
~ Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
~ Kuelekea 2025 - Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'
"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"