Pre GE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna Utofauti baina ya mikutano na maandamano ya amani?

Kwani maandamano ni ya chadema pekeake ?!

Behind the scenes Kuna mengi Sana sisi Kama ma Layman hatujui / hatuna taarifa ya mambo mengi SANAA yanayo Endelea.

Wasalaam.
 
Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.
Viongozi wa vyama vya siasa na wengine wakumbe jambo lililotoke Georgia mwaka 2008. Katiba yetu ya sasa inaweka wazi masuala uhaini dhidi ya nchi yetu.
===
Last month, the Georgian government said it would set up a parliamentary commission to assess the events of 2008, claiming that Saakashvili acted on instructions “from the outside,” which constitutes “a well-planned betrayal.”

The former president could face additional charges of treason, potentially leading to a life sentence.
 
Kauli iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini, kupitia Kwa msemaji wake, ACP David Misime, tarehe 12 ya mwezi huu kuwa wamepiga marufuku maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, tarehe 23 mwezi huu, ambapo chama hicho Cha Chadema, kimeeleza kuwa iwapo hadi tarehe 21 mwezi huu, Jeshi hilo litakuwa halijatoa taarifa ya wapi walipo viongozi wao waliotekwa, ambao ni Mwenyekiti wa vijana wa Temeke, Deosdadit Soka na wenzie wawili

Kwanza ningependa kuwakumbusha hao Jeshi la Polisi kuwa maandamano ya amani ni halali na ni jambo linalokubalika, Kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi na wanachopaswa kukitekeleza wao Jeshi la Polisi ni kuyapa ulinzi maandamano hayo, kuanzia mwanzo Hadi mwisho wake.

Kwa hiyo kitendo Cha Jeshi la Polisi nchini Cha kuyapiga marufuku maandamano hayo, sisi wananchi, tunapata tafsiri kuwa, wao Jeshi la Polisi nchini, wanaunga mkono, utekaji huu wa raia wasio na hatia na katika matukio kadhaa, wanauawa raia hao wasio na hatia.

Mungu ibariki Tanzania
 
Siyo kwamba wanaunga mkono tu vitendo vya utekaji, utesaji na kuua watu, Bali wao ndio watekelezaji wakuu wa mipango hiyo.
They're the Main Suspect and the Key perpetrators of the ongoing Covert Clandestine Operations about the Abductions and Assassinations.
 
Hakika.
Wao Jeshi la Polisi, inabidi tueatilie shaka, kuwa ndiyo watekaji wenyewe.

Iweje wao Jeshi la Polisi, wayapige marufuku maandamano ya amani ya Chadema, ambao wanawalalamikia wanachama wao ambao wametekwa
 
JESHI LA POLISI, LIAACHE UHUNI, JESHI LA POLISI LIACHE KUMUOGOPESHA SAMIA SULUHU.

MIMI SIO MPINZANI, ILA NISEME, JESHI LA POLISI WAACHE UHUNI HUUU.

YAAN MIPANGO OVU IPANGWE NA CHADEMA MBELE YA MKUTANO WA WAZI ?? ULOITWA WAZIWAZI ??KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ? YAAN MPANGO WA MACHAFUKO KUMUONDOA SAMIA, UPANGWE WAZIWAZI???.

JESHI LA POLISI LIACHE UHUNI NA KUTUMIA UANAMKE WA SAMIA , KUHAMISHA MAWAZO YA WATANZANIA NA DUNIA KUHUSU MAUAJI MBALI MBALI YANAYOENDELEA NCHINI HAPA NA YANAYOUNGANISHWA NA JESHI LA POLISI MOJA KWA MOJA.

GAIDI ASIYEKUA NA SILAHA, HUFIKISHWA MAHAKAMAN, SIO KUULIWA , NA HATA ANGEKUA NA SILAHA, KAMA UNAUSHAHIDI, MKAMATE MFIKISHE MAHAKAMANI .

VIJANA WA KITANZANIA, SIMAMENI, HAWA WAHUNI WAMEMSHINDA SAMIA .

RAI YANGU KWA UPINZANI, HAKUNA KURUDI NYUMA, SONGENI MBELE .

CHADEMA SI CHAMA CHA KIHAFIDHINA, CHADEMA SIO CHAMA CHA KIGAIDI WALA HAKIWEZI KUA NA NGUVU HIYO .

HAKI YA MZEE MOHAMED IPIGANIWE , KWA SASA NAONA SURA YA POLISI KUMUUNGANISHA MOHAMEDI NA HARAKATI ZA KIGAIDI... TUSEME HAPANA .... NA KAMA NI GAIDI, BASI WATUAMBIE GAIDI ALOKAMATWA NDANI YA BUS , KWANN AUWAWE NA SIO KUPELEKWA MAHAKAMAN.

JESHI LA POLISI, LIMEDHIHIRISHA UDHAIFU MKUBWA SANA, KUMBE NDO MAANA. HATA YULE RPC WA DODOMA, ALIAMUA KUSEMA "BINTI MWEMYEWE ANAONEKANA KAMA ANAJIUZA".

KAMA NI INTELIJENSIA, BASI INAWEZEKANA TANZANIA NDIO TINA INTELIJENSIA YA HOVYOOOO KUPINDUKIA, KIASI KWAMBA INASHINDWA KUDEAL NA MASUALA MTAMBUKA, YENYEWE INABAKI KUA NA TAARIFA ZA CHADEMA TU.
 
Halafu mma sijui amekula nini leo....katika uhalifu aliouzungumzia kuna mtu kasikia neno 'utekaji'?
 
Samia ameshasahau walivyomuinguza chaka juu ya kesi ya mchongo ya Mbowe,watu wale wale walimlisha tango pori ndiyo kawapa kuliongoza jeshi la polisi,wataendela kumdanganya na kumtisha ili watimize malengo yao. Chadema hawana ubavu wa kumuangusha,wataandamana jioni watarudi kulala wakishatema nyongo yao ndiyo imeisha,ila hiyo njia anayodanganywa kuitumia ndiyo itakayomuondoa madarakani wala siyo Chadema.
 
You have nailed Bro, CHADEMA hata waandamane usiku mchana, hawana means yoyote ya Kumuondoa Rais madarakan.

Wale wahuni wale wa kesinya ugaidi, ndo hawahawa wanaendelea kumtisha na kumuogopesha.

Sijui kwanini Mungu aliamua tuzaliwe Nchi kama hii?.

Watu hawapo serious kabisa na uhai wa watu .

Unatoka Hadhirani unaongea mipasho na mambo ya ajabu ambayo hata mtoto wa chekechea lazima akupinge Kwa nguvu zake zote.
 
Makelele ya nini?

CHADEMA ijikite kwenye kuuza sera na sio kujifanya wao ndio Moral police wa Tanzania.

Mpaka nimemaliza kuandika, watu zaidi ya 1000 wamepotea Duniani na wasijulikane walipo.

Hakuna jeshi lelote lile la Polisi ambalo llinaweza kutatua tatizo la watu kupotea.

CHADEMA waache makelele yao na wauze Sera.
 
Ni kweli bro lakini utawezaje kuuza sera wakati unaona safu ya timu yako kila kukicha watu wako wanatekwa/kuuliwa? Hivyo naona kama wako sawa kupaza sauti zao. Mfano CCM mjumbe mmoja wao wa halmashuri kuu ya cham angefanyiwa kama Mzee Ally wangejikita kwenye kuuza sera bila demonstration yeyote? Mimi najua ndani ya CCM kuna watu haya mambo yanawakera sema maisha yetu magumu ndiyo sehemu tunapatia mkate wa kila siku​
 
Ni kweli bro lakini utawezaje kuuza sera wakati unaona safu ya timu yako kila kukicha watu wako wanatekwa/kuuliwa?​
Kwani matukio yote ya kutekwa na ya kupotea yanayotokea kwa Wana CHADEMA tu?
Hivyo naona kama wako sawa kupaza sauti zao.​
Wanapaza sauti haswa lakini sio kwasababu wanawajali saaana waliopotea. Wanajali matumbo yao tu. Yaani wanatumia kila mwanya, kila wakati wa maovu yanayotokea, kuteka vichwa vya habari- kwa lengo moja kuu.

MADARAKA na Nguvu za Dola

Mfano CCM mjumbe mmoja wao wa halmashuri kuu ya cham angefanyiwa kama Mzee Ally wangejikita kwenye kuuza sera bila demonstration yeyote?​
Uuseme ukweli, Yaani katika hizi vurugu mechi hakuna wa CCM ambaye alishapotea ama kuuwawa?

Mimi najua ndani ya CCM kuna watu haya mambo yanawakera sema maisha yetu magumu ndiyo sehemu tunapatia mkate wa kila siku​
Mtu atakayesema haya yanayotokea hayamkeri, achunguzwe akili.
 
# Maandamano hayo uharamu wake ni pale Polisi watakapozuia - ikizuiliwa msilazimishe mkasababisha vifo kama ilivyotokea kwa Acquiline.

# Mimi na ninyi bima zenu zinaishia ngazi ya kata wkt viongozi walioitisha maandamano matibabu yao ni SA, India, US nk nk.

# Walioitisha maandamano wengi wao wana makazi US, UK, Dubai, Belgium nk nk wkt sisi wengine makazi yetu yako Mbagala tu.

# Wanaoitisha maandamano benki zao zimejaa ukwasi wkt sisi kwenye akaunti za M-pesa kumejaa songesha. Na salio letu tunaongeza kwa Nipige tafu.

Huu ni ushauri tu kwenu, kama huna chefu'cha ruguru susia maandamano!

Ngaika Ndenda
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.

Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.

Pia Soma:
~ Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
~ Kuelekea 2025 - Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"
Hitakiwi kumwamini yeyote anayevunja sheria.

Kuandamana ni haki ya mwananchi. Takwa la kisheria ni KUWATAARIFU polisi angalao masaa 48 kabla na kuwaeleza maandamano yatakapoanzia na kumalizikia, na barabara yatakapopita. Polisi wakishataarifiwa wanatakiwa kutoa ulinzi, hawana mamlaka ya kuzuia maandamano.

Kama kuna concern yoyote ile ambayo polisi wanaiona, wanachotakiwa ni kuwaita na kujadiliana na waandaaji wa hayo maandamano namna maandamano hayo yanavyoweza kufanyika kwa kuzingatia concerns hizo. Kama sababu ni za msingi, waandaaji wa maandamano wanaweza kukubaliana na polisi kubadili tarehe, njia, au hata mahali pa kuanzia na kumalizia.

Polisi kusema sijui tumepiga marufuku maandamano, au sijui hatujatoa kibali, ni uouuzi wa hali ya juu, maana wanajipa mamlaka ambayo hawana kisheria.

Na wananchi tunatakiwa kupuuza, kudharau, na kutosikiliza kabisa taasisi yoyote inapotoa tamko linalopingana na katiba na sheria za nchhi.

Kwa kauli ya polisi kuwa eti wamepiga marufuku maandamano, hatustahili kuwaamini hata kidogo. Tukiwakubalia, kuna siku watakuja kutamka kuwa tumepiga marufuku wananchi wote hamruhusiwi kuongelea masuala ya siassa, na wewe utakuja kusema kuwa eti tuwaamini!! Tuwaamini kwa lipi wakati wanakiuka katiba ya nchi?
 
Back
Top Bottom