johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyo ana mapepoù!Polisi mkoani Geita wamesema uchunguzi wa awali unaonyesha aliyevunja Kanisa la Katoliki na kuharibu Vitu mbalimbali ni Muumini aliyekuwa amelewa
Uchunguzi unaendelea
Source Star tv
Muumini ninja huyo hongereni polisi Kwa ngonjera tamuPolisi mkoani Geita wamesema uchunguzi wa awali unaonyesha aliyevunja Kanisa la Katoliki na kuharibu Vitu mbalimbali ni Muumini aliyekuwa amelewa
Uchunguzi unaendelea
Source Star tv
Umeita ngonjera kwasababu kama vile jibu halijakufurahisha! Yaani watu wamefanya uharibifu kama huo bado pia ulitaka uambiwe ni flani ili ufurahi?Muumini ninja huyo hongereni polisi Kwa ngonjera tamu
Kumbuka Mkuu wa police Geita ni Kobaaz Ramadhan Ng'azi.Stress Challenger njoo uone sasa huku
Walevi mnawafuga wenyeweKumbuka Mkuu wa police Geita ni Kobaaz Ramadha Ng'azi.
Siyo Pombe tu hata kipenzi Bangi husingiziwa sana. Not fair at all.Pombe inasingiziwa sana, na vichaa kama huyo ndio wanao tuharibia jina zuri la pombe..😎
Naunga mkono hoja ya msingi sana hii...Siyo Pombe tu hata kipenzi Bangi husingiziwa sana. Not fair at all.