Polisi yasema aliyevunja Kanisa Katoliki na kuharibu Vitu Geita ni Muumini aliyekuwa amelewa!

Kwaiyo mjomba baada ya kupiga gambe,akakumbuka kuwa miaka na miaka ametoa sadaka kanisani?akapiga hesabu akaona amechangia sadaka kama milioni kadhaa?akaamua akavunje aibe sadaka achukue chenji yake..?nawaza kwa sauti tu wadau.
 
I think this time it could be hard for government as special unity inside Catholic church must work secret some where to know the truth. Watu wenye akili nyingi sana walishaona hili tangu siku ile Cheef alipo mwachia yule bwana. Inasemekana wenye akili walionya ila hakuna alie ona wala kuelewa.
Hili tukio limetengenzwa kwa ufanisi mkubwa sana kiasi sio rahisi kujuwa nani japo wenye akili wanajuwa nani japo hawawezi comment. Viashiria vinaonyesha ukianza kula nyama za watu huwezi acha. Baada ya hili Kuna lingine linakuja. How na wapi let keep our 👁️ open
 

Mlevi anang’oa cctv camera?
 
Ninavojua mimi wale walevi mashuhuri wakilewa huwa wanaimba imba barabarani mpaka nyumba kwake akifika anamuita mama wawili then anapiga mlango teke anaingia ndani kulala.Sasa mlevi anaenda kanisa tena 🤷‍♂️ 🤷‍♂️.
 
Ulevi umesingiziwa, hakuna mtu anayelewa akaenda kuvunja kanisa bila ya kuwa na ufahamu na anachokifanya.......labda atumie ulevi kama cover-up ya kufanya kile alichokuwa amekusudia moyoni hata kabla ya kulewa.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…