Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

Hahahah kwa wasiwasi gani?

Siku baada ya uchaguzu tundu atalindwa na police na baada ya matokeo anawahishwa kisutu, na dhamana yake inafutwa anenda jela, hadi amalize kesi yake kisha atimkie ubalgiji.
mlisema akija tu atakamatwa
 
Hili likamanda ni litekaji litesaji limeshiriki uhalifu mwingi sana! Linamchukuaje mtu bila taarifa kutolewa? Mwanausalama wa hovyo kwenye mfumo wa hovyo hovyo!
Duh,maneno hata kama yumo humu ajifunze.ukamanda wake wa kuteuliwa asijifanye anajua.kwani familia yake inaishi mawinguni!.tukichoka atakoma
 
Kama usingekuwa kada usingelazimisha kuniambia mimi mpinzani na nawashobokea akina Membe, unafiki umekujaa wewe ni kada unayechukizwa na kila ambaye yuko kinyume na walio madarakani.

Kitu kikubwa tumewajua watekaji kwa sababu ya kauli ya Membe, umekasirika kwa sababu watekaji wasiofuata sheria na taratibu (ethics) wamekuwa exposed.

Mnafiki mkubwa, equal opportunity critics? My ass! Yanayofanywa na polisi you see nothing worth criticism. MNAFIKI

Time and time again nimekwambia sishobokei Membe kuwa Rais, hiyo reasoning unayotaka kuiimpose kwangu ni uendawazimu wako na roho yako ya kichawi, narudia fungua kichwa chako na unafiki wako. Nachofurahia ni polisi wanaofanya kazi ya ukada kama wewe halafu kujificha kwenye kivuli cha equal opportunity critics wamekuwa exposed. Period, give a break please, peleka unafiki wako mbele
 
Ok, Una mpango wa kupindua nchi nini?
 
We nae hata unachokisema hakieleweki!!!

Wataje hao waliokamatwa na wamekamatwa lini na kwa kosa gani?

Na hao waliokamatwa wako wapi? Na wewe umefahamje kuhusu ukamatwaji wao au ni mmoja wa wakamataji?
Wameishia kuwakamata wasaidizi wake na watu wote aliokuwa akiwasiliana nao akiwa Dubai
[/QUOTE
 
Membe kafanya nini baada ya kupiga mkwala?
 
Membe kafanya nini baada ya kupiga mkwala?
Ushawahi kuwaona mabinti wakisutana, huku wameshika pindo za magauni yao, wakiinua vidole karibu watiane vya macho? Hamna tofauti, una GUBU
 
Wamemwogopa mzee wa kunuka. Kwa nini wamemkamata ?
Kwanza kama ishu inamuhusu jasusi ilitakiwa akamatwe yeye na sio msaidizi, wanaonea dagaa wamfate kambale waone moto.. Na haya ndio madhara ya kujaza waliofeli kidato cha 4 kuja kuwa police, hawajui majukumu yao kabisa.
Hili ni janga..
 
Ushawahi kuwaona mabinti wakisutana, huku wameshika pindo za magauni yao, wakiinua vidole karibu watiane vya macho? Hamna tofauti, una GUBU
Membe kafanya nini baada ya kupiga mkwala?
 
Membe anatakiwa amuunge Lisu waziwazi wapige kampeni wamuangushe huyu dikiteta uchwara
Hana madhara yoyote kachero mbobezi yule na Lissu alishamsoma zamani sn ndio maaana alisema yy sio mjinga na chama chake sio wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…