Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

Duuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
Jana Membe alikuwa na press conference akatoa masaa 12 mtu wake arejeshwe vinginevyo patachimbika.

Sasa kwakuwa jeshi la polisi limeitokeza bila shaka wanajua makali ya Membe.
 
Membe na wewe tafuta polisi umkamate ndio tunakoelekea. Hivi hakuna aliona huyu mtu akikamatwa mpaka polisi watoe taarifa kuwa wanae,
 
Sawa kamanda malizia kwa kutwambia kosa lake na yuko salama kituo gani cha polisi na lini anafikishwa mahakamani au kama dhamana yake iko wazi au la. That is how professionalism is.
 
Wamemwogopa mzee wa kunuka. Kwa nini wamemkamata?
 
Duuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
Utaelewaje wakati wewe ni mburula?
 
Mwambieni mambo sasa baada ya Tar 28/10 faili zote hapo ofisini kwake ziwe na taarifa sahihi- akumbuke ofisi yoyote ya serikali inasimamiwa kwa mujibu wa sheria, kama anafanya mambo kinyume na utaratibu basi huko anakoshikilia watu asishangae na yeye akashikiliwa huko
Hahahah kwa wasiwasi gani?

Siku baada ya uchaguzu tundu atalindwa na police na baada ya matokeo anawahishwa kisutu, na dhamana yake inafutwa anenda jela, hadi amalize kesi yake kisha atimkie ubalgiji.
 
Duuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
Hivi na wewe hujamfuata kada mwenzio Shana?
 
Membe aliwapa masaa matatu wamuachie, la sivyo atamwaga ugali na mboga mwenyewe.

Kashamwaga ugali na mboga?
 
Hahahah kwa wasiwasi gani?
Siku baada ya uchaguzu tundu atalindwa na police na baada ya matokeo anawahishwa kisutu, na dhamana yake inafutwa anenda jela, hadi amalize kesi yake kisha atimkie ubalgiji.
Ubalgiji ndio wapi na wewe na mihemko yako ya ki CCM?
 
Back
Top Bottom