Jana Membe alikuwa na press conference akatoa masaa 12 mtu wake arejeshwe vinginevyo patachimbika.Duuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
Sasa kwakuwa jeshi la polisi limeitokeza bila shaka wanajua makali ya Membe.