Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewahi kusave sahani ya ugaliMembe aliwapa masaa matatu wamuachie, la sivyo atamwaga ugali na mboga mwenyewe.
Kashamwaga ugali na mboga?
Mboga je?Wamewahi kusave sahani ya ugali
Ndio tunamsubiria bosi wa ACT, mate yatutiririka kwa uchu wa udaku hapaMboga je?
Nadhani Mambosasa anajua vizuri maana ya maneno (mikwara) ya BM na ndo mana kajitokeza kabla ya Masaa yaliyotolewa na BM kuisha.Duuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
kutakatisha pesaWanamshikilia kwa kosa gani?
wewe unafuatq maelezo ya niguse ninukeLabda tumkumbushe Mambosasa kuwa taratibu za kisheria za polisi kumkamata mhalifu zipo wazi, sasa iweje wewe umemvizia na kumkamata bila kujitambulisha wala kuwataarifu ndugu zake? Sasa umejidhihirisha kuwa wewe ni mtekaji na muuaji! Bila kutishiwa ungekaa kimya na huenda tungeokota maiti!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kudhibiti wahalifu
Na hata pewaHana akili ndio maana hakupewa ukamishna
Ndio basi tenaNa hata pewa
Mmemkamata kwa makosa gani ninyi mafala?
Akafie mbali hukoNdio basi tena
Haya wewe tupe maelezo ya Jiwe!wewe unafuatq maelezo ya niguse ninuke
EYE OPENER!!!??? Waliompiga Risasi 16 Lisu ni nani???? 2+2= 4