Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

Polisi yasema inamshikilia msaidizi wa Membe Jerome Luanda, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha

Labda tumkumbushe Mambosasa kuwa taratibu za kisheria za polisi kumkamata mhalifu zipo wazi, sasa iweje wewe umemvizia na kumkamata bila kujitambulisha wala kuwataarifu ndugu zake? Sasa umejidhihirisha kuwa wewe ni mtekaji na muuaji! Bila kutishiwa ungekaa kimya na huenda tungeokota maiti!
wewe unafuatq maelezo ya niguse ninuke
 
Yaani mbobezi kamuuzia mzigo dogo??? Duh!! Kweli kua uyaone
 
Back
Top Bottom