Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe elewa mwisho hapo hapoWanamshikilia kwa kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe elewa mwisho hapo hapoWanamshikilia kwa kosa gani?
Familia tulishaijuzaPolisi ni watekaji, au watekaji ni polisi... kama ni kushikiliwa kwa mahojiano iweje achukuliwe bila familia kujuzwa!
Kwanza kama ishu inamuhusu jasusi ilitakiwa akamatwe yeye na sio msaidizi, wanaonea dagaa wamfate kambale waone moto..Wamemwogopa mzee wa kunuka. Kwa nini wamemkamata ?
Kwa taarifa yako tu.Ndio tunamsubiria bosi wa ACT, mate yatutiririka kwa uchu wa udaku hapa
Katoa mkwara kabla ya masaa 12 wawe wameishamuachia watekaji, na kweli wametoa taarifa kuwa watekaji ni polisi tumewajua. Na sasa tumejua kuwa hawa ndio wasiojulikana, tunasubiria watuambie wamemteka kwa sababu gani.Kwa taarifa yako tu.
Membe ni mtaalamu katika fani ya kuwaangusha watu wanaomshabikia.
Anaweza kutangaza atamwaga mboga, mkajazana hapo kumsikiliza, akawaambia ile mboga tumeipiga picha, picha zinasafishwa kwanza iwepo kumbukumbu kabla ya kuimwaga, nitawajulisha maendeleo zaidi.
YES!BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo...
Wamemuachia?Katoa mkwara kabla ya masaa 12 wawe wameishamuachia watekaji, na kweli wametoa taarifa kuwa watekaji ni polisi tumewajua. Na sasa tumejua kuwa hawa ndio wasiojulikana, tunasubiria watuambie wamemteka kwa sababu gani.
muda mrefu tulikuwa tunahisi, wamejulikana sasaEYE OPENER! Waliompiga Risasi 16 Lisu ni nani???? 2+2= 4
unaelewa nini huoni mkwara umetekelezwa c wangesubiri huo muda chezea Membe weweDuuh kwani angemfanyaje zaidi labda ya kulalamika tu kwenye media maana huwa najaribu kuimagine mikwara mama hiyo utekelezaji wake unakuwaje nashindwa kuelewa.
wahalifu wenyeweNalipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kudhibiti wahalifu
soma habari yote ujue nduguWanamshikilia kwa kosa gani?
KUNA WATU HUWA WANAJAMBA MAVI,KABLA HAJAANZA KUNUKA, WANAPULIZIA PAFYUME. UMETEKA BAADA YA KUBAINIKA, UNAJIFANYA UNAMSHIKILIA 🤣🤣🤣BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo.
====
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo Septemba 17, 2020, amesema msaidizi wa Mgomba Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, aitwaye Jerome Luanda, yuko mikononi mwa polisi akiwa ni mzima wa afya na hakutekwa.
Amesema hayo akiwa anazungumza na East African Radio ya jijini Dar es Saalam, ambapo amethibitisha msaidizi huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na akakanusha habari za kutekwa.
“Huo ni uongo na uzushi; tumemkamata akiwa airport pale Julius Nyerere, nasikia wengine wanasema wamemtafuta vituo vyote hawajamuona. Ni uongo, sisi tupo naye na ni mzima wa afya, tunamshikilia kutokana na kesi zake ambazo hatuwezi kuzitaja,” amesema na kuongeza:
“Na huyu nasema amekamatwa, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha, kwa hiyo anayetaka kuthibitisha hilo ni suala la kuja tumueleze ukweli wa jambo hilo.”
Tukio hilo limejiri baada ya Mgombea Urais huyo, kuandika katika ukurasa wake wa Twitter Septemba 16, 2020, kuwa msaidizi wake amechukuliwa na watu wasiojulikana, na hivyo akatoa masaa kadhaa ili awe amepatikana.
Pia Soma > News Alert: - Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa
Sasa mbona hawajasema wamemshikilia kituo gani?BREAKING NEWS : Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amesema msaidizi wa @BenMembe Jerome Luanda yuko mikononi mwa polisi na ni mzima wa afya hivyo wanaodai ametekwa ni waongo.
====
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, leo Septemba 17, 2020, amesema msaidizi wa Mgomba Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe, aitwaye Jerome Luanda, yuko mikononi mwa polisi akiwa ni mzima wa afya na hakutekwa.
Amesema hayo akiwa anazungumza na East African Radio ya jijini Dar es Saalam, ambapo amethibitisha msaidizi huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na akakanusha habari za kutekwa.
“Huo ni uongo na uzushi; tumemkamata akiwa airport pale Julius Nyerere, nasikia wengine wanasema wamemtafuta vituo vyote hawajamuona. Ni uongo, sisi tupo naye na ni mzima wa afya, tunamshikilia kutokana na kesi zake ambazo hatuwezi kuzitaja,” amesema na kuongeza:
“Na huyu nasema amekamatwa, anatuhumiwa kwa kosa la kutakatisha fedha, kwa hiyo anayetaka kuthibitisha hilo ni suala la kuja tumueleze ukweli wa jambo hilo.”
Tukio hilo limejiri baada ya Mgombea Urais huyo, kuandika katika ukurasa wake wa Twitter Septemba 16, 2020, kuwa msaidizi wake amechukuliwa na watu wasiojulikana, na hivyo akatoa masaa kadhaa ili awe amepatikana.
Pia Soma > News Alert: - Bernard Membe ataka Msaidizi wake Jerome Luanda aliyetekwa arudishwe bila Mchubuko, vinginevyo watafikishana Mbali, hela za Kampeni zatajwa
Hatari sn hii nchi......Kwahio kuna Vituo vya Polisi visivyofahamika ?
Kujitokeza na kukiri kumteka sasa hatopotea sababu tumewajua wasiojulikanaWamemuachia?
Hujajibu swali nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.Kujitokeza na kukiri kumteka sasa hatopotea sababu tumewajua wasiojulikana
hana hadhi ya kuitwa afande huyo msengerema, ni mpumbavu na mjinga kama ilivyo maiti ya shanaAfande Mambosasa
Kabla Membe hajaweka mkwara ulijua alitekwa na polisi?Hujajibu swali nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.
Membe alisema wamuachie, la sivyo...
Wamemuachia?